1.
Baada ya kifo cha Sauli, Ishbosethi mwanae alikua mfalme wa wapi?
2.
Nqni alikua mzaliwa wa kwanza wa Daudi?
3.
Ni laana gani aliitoa Daudi kwa familia ya Yoabu?
4.
Daudi alikua na miaka mingapi alipokua mfalme?
5.
Ni Mfalme yupi aliyepeleka wajenzi ili kujenga nyumba ya Daudi?
6.
Nani alipigwa kwa kifo baada ya kushika Sanduku la Agano?
7.
Ni mke yupi wa Daudi ambae hakuwa na mtoto?
8.
Ni wapi Daudi alipowapiga Waedomi elfu kumi na nane?
9.
Mefiboshethi alikua na ulemavu gani?
10.
Mfalme Hanuni wa Amori aliwafanyia nini watumishi wa Daudi walioenda kumpa pole kwa kifo cha baba yake?
11.
Ni nini Daudi aliona cha kwanza katika dari ya jumba la Mfalme?
12.
Ni kwa namna gani Daudi alimuua mume wa Bathsheba?
13.
Ni nabii yupi aliyemzuia Daudi katika swala la kumwiba Bathsheba kwa Uria Mhiti?
14.
Bathsheba alimzalia Daudi mtoto aitwae nani?
15.
Ni yupi kati ya mtoto wa Daudi aliyeamuru Amnoni auliwe?
Hongereni sana kwa quiz hizi