Menu
NDOTO ZANGU
  • Home
  • Orodha ya Ndoto
  • Quizzes & Surveys
  • Contant
  • English Articles
  • Kuhusu
  • MASOMO KWA WANAWAKE
NDOTO ZANGU

Category: Ndoto za tahadhari.

KUOTA UNAKIMBIZWA NA SIMBA

Posted on October 26, 2022October 30, 2022

Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo lisifiwe milele na milele…. Karibu tujifunze kwa njia ya ndoto ili tupate maarifa ya kumsikia Mungu kwa njia hiyo Asilimia kubwa ya ndoto tuotazo huwa zinatokana na harakati na mizunguko mingi ya maisha yetu hususani shughuli zetu za kila siku, lakini ikitokea ndoto yako haijaingiliana na shughuli yoyote au…

Kuota umechelewa kwenye harusi

KUOTA UMECHELEWA KWENYE HARUSI.

Posted on February 20, 2022October 16, 2022

Unapoota umechelewa kwenye harusi, hiyo ni ndoto ya tahadhari kutoka kwa Bwana. Ni nadra sana zote za namna hii kuwa na tafsiri ya ndoa halisi za kimwili, nyingi zinafunua ndoa za kiroho. Kibiblia sisi watu wa Mungu tunafananishwa na wanawali na Kristo ni Bwana arusi, na karamu yetu (yaani harusi) itafanyika mbinguni. Hivyo kama umeota…

NINI MAANA YA KUOTA UNAPIGANA NA MTU.

Posted on February 10, 2022October 16, 2022

Ndoto hiyo ya kuota unapigana inaweza kumaanisha aidha upo kwenye mashindano au vita.. 1. UPO KWENYE MASHINDANO. Kwa namna ya kawaida, ikiwa kipo kitu Fulani ambacho kinathamani fulani, na wote mnakitamani au kukigombania ili mkipate, au mmoja anakizuia ili kisipatikane, ni rahisi kutokea kutokuelewa na mwisho wa siku mapigano, kwamfano wengine wanaishia kupigana kisa, fedha,…

Pages: 1 2

TOAUTI YA NDOTO YA MUNGU NA YA SHETANI NI IPI?

Posted on February 7, 2022

Elimu juu ya ndoto imetanuka kidogo, Ndoto zimegawanyika katika makundi makuu matatu, 1) Ndoto zinazotengenezwa na miili yetu wenyewe (Mhubiri 5:3): Ndoto hizi zinakuja kutokana na shughuli mtu alizokuwa anazifanya kabla ya kulala au anazozifanya kila siku… Hiyo inasababisha ubongo wake kutawaliwa sehemu kubwa na shughuli hiyo, hivyo ni rahisi anapolala kuota yupo katika hiyo…

KUOTA MTI UMEANGUKA

Posted on December 30, 2021

Nini maana ya kuota mti au miti inaanguka au inakatwa? Kibiblia Mti unawakilisha “MTU”. Marko 8:22 “Wakafika Bethsaida, wakamletea kipofu, wakamsihi amguse. 23 Akamshika mkono yule kipofu, akamchukua nje ya kijiji, akamtemea mate ya macho, akamwekea mikono yake, akamwuliza, Waona kitu? 24 Akatazama juu, akasema, Naona watu kama miti, inakwenda”. Unaona hapo mstari wa 24?…

KUOTA BWANA YESU KARUDI, NA UMEACHWA!

Posted on December 13, 2021December 14, 2021

Ndoto hii ni ndoto ambayo karibia kila mtu ulimwenguni, ataiota katika kipindi chochote cha maisha yake. Kwasababu ni ndoto kutoka kwa Mungu. Kama wewe ni Mkristo, na katika ndoto umeona Bwana kaja na umeachwa, basi hiyo ni tahadhari kwako, Bwana anayokupa kwamba uzidi kuimarisha uhusiano wako na yeye, na ili siku ile isije ikakukuta kama…

KUOTA UNAOKOTA HELA

Posted on December 6, 2021October 16, 2022

Ndoto ya kuota unaokota hela inaweza gawanyika katika makundi mawili ambayo ni, 1) Kuota unaokota Sarafu 2) Kuota unaokota noti. Ndoto yoyote inayohusisha kuokota fedha, haina maana nzuri kama inavyotegemewa. Fedha ya kuokota haina tofauti na fedha ya wizi, uchungu anaoupata mtu aliyepoteza fedha hauna tofauti na yule aliyeibiwa, hivyo kuokota pesa sio jambo la…

Palipo na Roho wa Bwana hapo ndipo penye uhuru
©2023 NDOTO ZANGU | Powered by SuperbThemes & WordPress