MTIHANI WA BIBLIA (part 21)
____Maswali ya biblia_____ 1.je ni nani aliye wakosesha Israeli kupigwa walipo enda kipigana naTaifa Ai Taifa dogo sana, na kupelekea Israel kupigwa. ________________ 2.je wana wa Asafu ni kabila gani? _________________ 3.Je nimfalme gani aliye oteshwa kuwa ufalme wake umekatwa kimebaki kisiki katika shina? ___________________ 4. Je mke wa kwanza aliye mwoa Daudi nia nani?…
MTIHANI WA BIBLIA (part 20)
___Maswali ya biblia___ 1.Je paulo alikutana wapi na Timotheo kwa mara ya kwanza? ______________ 2. Je ni wapelelezi gani(walio tumwa na Musa) waliofanikiwa kuifikia nchi ya ahadi? _______________ 3.je Amri ya kwanza inasemaje? _______________ 4.je Amri ya Nane inasemaje? ______________ 5.Amri ya 9 inasemaje ______________ 6.Amri ya 10 inasemaje ______________ 7.je ndugu yake Habili alikuwa…
MTIHANI WA BIBLIA (PART 19)
____Maswali ya biblia_____ 1.je ni nani mfalme gani aliye ingia katika hekalu la Mungu na kufukiza uvumba kama kuhani Mungu akampiga kwa ukoma? ______________ 2. Je. Amri ya tatu inasemaje? _______________ 3.je ni makosa gani ambayo daudi alimkosea Mungu hata,. Mungu akamwadhibu? ________________ 4.je wana wa Yusufu wakiume walikuwa wangapi na ni akina nani? ________________…
MTIHANI WA BIBLIA (part 18)
____maswali ya biblia_____ 1.je Danieli ni kabila gani? _______________ 2.je ni nabii gani aliye agizwa na Mungu kutembea uchi? ______________ 3.je ni Nabii gani aliye tabiri kufa kwa Mfalme Ahabu vitani? ________________ 4.wenye uhai wa 4 wana sura ngapi? ________________ 5. Je hekalu la Mungu linawakilisha nini kwetu sisi katika agano jipya? __________________ 6.je katika…
MTIHANI WA BIBLIA (part 17)
___Maswali ya biblia___ 1.yule mkushi alikuwa anasoma kitabu gani alipo kutana na filipo? ________________ 2.je amri ya 6 inasemaje? ________________ 3.je vile vinara saba vya taa vinawakilisha nini katika agano jipya? _________________ 4.Katika waraka wa Yuda, je Yuda aliwaandikia akina nani? ________________ 5.Je ni mwanamke gani katika biblia aliye leta miungu katika Israeli? ________________ 6.wakati…
MTIHANI WA BIBLIA (part 16) (MASWALI YA BIBLIA)
1.Je amri ya pili ni inasemaje? ______________ 2. Je ni watu gani ambao Paulo aliwaandikia kuwa wamelogwa? ______________ 3.je ni mtoto gani wa Daudi aliye uliwa na Sulemani? _________________ 4.Elisha alikufa kifo gani? __________________ 5.je ni nabii gani aliye simamisha mvua kwa miaka mitatu na nusu? ___________________ 6.wana wa kuhani Eli wanaitwa wakina nani? __________________…
MTIHANI WA BIBLIA (part 1️⃣5️⃣) MASWALI YA BIBLIA
1.Je Samsoni kwanini aliyechoma mashamba ya wafilisti? ___________ 2. Ni saa ngapi Bwana Yesu alisurubiwa na saa ngapi alikufa? _____________ 3.je katika biblia ni kosa gani alilolifanya DINA binti wa Yakobo. ______________ 4.je Bwana Yesu alipindua meza hekaluni mara ngapi? _______________ 5. Je Bwana Yesu alikuwa akipendelea kwenda kuomba wapi? ______________ 6.je wakati Zerubabeli anasimamia…
MTIHANI WA BIBLIA (part 14) (MASWALI YA BIBLIA)
1.Kwanini Mfalme Daudi hakumjengea Mungu hekalu? __________________ 2.Sulemani alikuwa na wake wangapi? _________________ 3. Jemedari wa jeshi la Sauli aliitwa nani? ________________ 4.Kuhani wa kwanza kwenye biblia alikuwa ni nani? _________________ 5.Mtoto wa Yezebeli aliitwa nani __________________ 6.Je ni watu gani waliokuwa wapinzani wa Nehemia katika kuujenga Yerusalemu? ________________ 7.katika biblia ni nani ambaye punda…
MTIHANI WA BIBLIA (PART 13) (MASWALI YA BIBLIA)
1.je ni mtoto gani wa sauli ambaye Daudi alimwoa? ________________ 2.Naamani alienda kujiosha katika mto gani kutakaswa ukoma wake? _______________ 3. Katika kabila za Israeli ni kabila gani ulikuwa uzao wa kifalme? ____________________ 4.Je Daudi alipakwa mafuta mara ngapi na wapi? ___________________ 5.Je ni mji gani ambao Barnaba na Paulo waliwekewa mikono na kanisa kwa…