Nini maana ya kuota mti au miti inaanguka au inakatwa? Kibiblia Mti unawakilisha “MTU”. Marko 8:22 “Wakafika Bethsaida, wakamletea kipofu, wakamsihi amguse. 23 Akamshika mkono yule kipofu, akamchukua nje ya kijiji, akamtemea mate ya macho, akamwekea mikono yake, akamwuliza, Waona kitu? 24 Akatazama juu, akasema, Naona watu kama miti, inakwenda”. Unaona hapo mstari wa 24?…
Month: December 2021

KUOTA UNAJENGA NYUMBA.
Nini maana ya kuota unajenga Nyumba, ngome, mji au mnara? Ndoto hizi zimegawanyika katika sehemu kuu tatu , 1) Unaota unajenga nyumba lakini haiishi, au unaishia katikati 2) Unaota unajenga nyumba inakamilika lakini baadaye inaanguka au unanyang’anywa. 3) Unaota unajenga nyumba na inakamilika vizuri. Tutaangalia kundi moja baada ya lingine. Unaota unajenga nyumba lakini haiishi….

KUOTA BWANA YESU KARUDI, NA UMEACHWA!
Ndoto hii ni ndoto ambayo karibia kila mtu ulimwenguni, ataiota katika kipindi chochote cha maisha yake. Kwasababu ni ndoto kutoka kwa Mungu. Kama wewe ni Mkristo, na katika ndoto umeona Bwana kaja na umeachwa, basi hiyo ni tahadhari kwako, Bwana anayokupa kwamba uzidi kuimarisha uhusiano wako na yeye, na ili siku ile isije ikakukuta kama…

KUOTA UNAOKOTA HELA
Ndoto ya kuota unaokota hela inaweza gawanyika katika makundi mawili ambayo ni, 1) Kuota unaokota Sarafu 2) Kuota unaokota noti. Ndoto yoyote inayohusisha kuokota fedha, haina maana nzuri kama inavyotegemewa. Fedha ya kuokota haina tofauti na fedha ya wizi, uchungu anaoupata mtu aliyepoteza fedha hauna tofauti na yule aliyeibiwa, hivyo kuokota pesa sio jambo la…

Kuota Mbwa
Kuota unafukuzwa na Mbwa, au umeumwa na Mbwa, au umezungukwa na mbwa Maana yake nini?. Mnyama Mbwa katika roho anawakilisha vitu viwili. 1. Roho ya uzinzi/uasherati 2. Roho za manabii wa uongo. 3. Roho ya umaskini. Katika biblia wanaume wanaofanya kazi ya kujiuza kinyume na maumbile walijulikana kama Mbwa. Kumbukumbu 23:18 “Usilete ujira wa kahaba,…