kitabu cha Matendo ya Mitume Welcome to your kitabu cha Matendo ya Mitume 1. Mkushi aliyebatizwa na Filipo, alikuwa akisoma kitabu gani? Chuo cha Nabii Ezekieli Chuo cha Nabii Musa Chuo cha Nabii Malaki Chuo cha Nabii Isaya 2. Akeldama maana yake nini? konde la heri konde la baraka konde la damu konde la maji 3. Maana ya jina Tabitha ni nini? Jua mwezi Nguvu Paa 4. Aliyeficha sehemu ya mali, baada ya kuuza shamba ni nani? Nabothi Iskanda Anania Tabitha 5. Watu wangapi waliongezeka kwa Mahubiri ya Petro siku ile ya Pentekoste? 100 5,000 4,000 3,000 6. Mtume Paulo hapo kwanza alikuwa akiitwa? Sila Sauli Kefa Sergio 7. Bwana Yesu aliwatokea wanafunzi wake kwa muda wa siku ngapi? 33 50 10 40 8. Kitabu cha Matendo ya Mitume kiliandikwa kwa nani? Mitume Paulo Theofilo Manabii 9. Nani aliteuliwa kuchukua nafasi ya Yuda? Mathiya Yusufu Kornelio Nikodemo 10. Bwana Yesu alichukuliwa juu katika Mlima gani? Mlima Sayuni Mlima wa Mizeituni Mlima Moria Mlima Sinai 11. Yuda alikufa kwa..? kusulubiwa kujinyonga kunywa sumu kusalitiwa 12. Ni jina lipi liwapasalo wanadamu kuokolewa kwalo? Jina la Musa Jina la Mungu Jina la Baba jina la Yesu 13. Roho Mtakatifu alishuka mara ya kwanza katika siku gani? Ijumaa Jumapili Pentekoste Malimbuko 14. Sauli alitokewa na Bwana Yesu wakati anaelekea? Korintho Dameski Yerusalemu Rumi 15. Ni idadi gani ya watu iliyokuwa imekusanyika ghorofani? watu 400 Watu 40 Watu 70 Watu 120 Please fill in the comment box below.
Yesu ni mwokozi
Amen
Yesu ni Bwana
Asante
mitihani hii imejaa utukufu na inatujenga na kutuimarisha kiroho katika kristo Yesu
Amen
Very nice questions bt no answers