FUNDISHO MAALUMU KWA MWANAMKE WA KIKRISTO. Jina la Bwana na Mwokozi Wetu Yesu Kristo litukuzwe, sifa na Utukufu ni vyake milele na milele, Amina. Karibu katika makala ya mafundisho maalumu kwa mwanamke wa kikristo. Moja ya vitu ambavyo maandiko yanawaagiza Wanawake wa kikristo wanaoukiri uchaji wa Mungu ni kujipamba kwa mavazi ya kujisitiri, yaani kutokuvaa…
Category: Wanawake
USIMNAJISI BINTI YAKO, ILI KUMFANYA AWE KAHABA.
FUNDISHO MAALUMU KWA WAZAZI NA WALEZI Umeshawahi kujiuliza ni kwanini dhambi ya uzinzi na uasherati ndio iliyo na kasi kubwa sana sasa hivi juu ya uso wa nchi? Si kwa watoto wadogo, si kwa vijana, si kwa wazee, wote ni watamanifu, si kwa maskini si kwa matajiri, si kwa viongozi, wote ni watu wa kutamani,…
KUVAA SURUALI NI DHAMBI KWA MWANAMKE WA KIKRISTO?
Fundisho maalumu kwa mwanamke Kuvaa suruali kwa mwanamke wa Kikristo ni dhambi mbele za Mungu na si sawa hata kidogo, kwa sababu biblia imesema ni mchukizo kwa Bwana Mungu wako, haijalishi wewe ni nani, una cheo gani au wadhifa gani ni machukizo mbele za Mungu. Kumbukumbu La Torati 22:5 Mwanamke asivae mavazi YAMPASAYO mwanamume, wala…
SITIRI MWILI WAKO, USIWE CHANZO CHA MWENGINE KUTAMANI
FUNDISHO MAALUMU KWA MWANAMKE Jina la Bwana na Mungu Wetu Yesu Kristo litukuzwe daima, ikiwa wewe ni dada, binti, au mama, basi nakukaribisha tujifunze neno la Mungu kwa pamoja. Kama mwanamke, unapaswa uwe nadhifu kwa kuusitiri mwili wako pale uwapo sehemu za mkusanyiko wa watu wengi hasa wa jinsia tofauti (hasa kwa wale walio dhaifu…
Je! Ni wanawake gani wanazungumziwa katika (Zaburi 68:11)?
SWALI: Je! Ni wanawake gani hao ambao wanazungumziwa katika katika cha Zaburi? (Zaburi 68:11) [Zaburi 68:11] [11] Bwana analitoa neno lake; Wanawake watangazao habari ni jeshi kubwa; JIBU: Nakusalimu kupitia Jina la Yesu lipitalo majina yote, nakukaribisha tupate kujifunza maneno yatupayo uzima wa milele. Wanawake wanaozungumziwa hapo ni wale wanawake ambao waliompokea Yesu Kristo katika…
Mtupe chini Yezebeli kama unataka kuwa upande wa Mungu
FUNDISHO MAALUMU KWA MWANAMKE Shalom, Jina la Mwokozi Wetu Yesu Kristo litukuzwe milele na milele, sifa na ukuu ni vyake. Amina, karibu tujifunze neno la Mungu. Kama wewe ni mwanamke (mama au binti), unayetaka kumcha Mungu na kuwa upande wake daima kama ilivyokuwa kwa wanawake walioutii uchaji wa Mungu kama Sara, Hana, Mariamu, Elizabeth, n.k,…
WANAWAKE WATAKATIFU WA ZAMANI WALIOMTUMAINI MUNGU
Nakusalimu Kwa Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo, Karibu tujifunze Neno la Mungu ambalo ndio taa na mwanga wa maisha yetu…. Leo kwa Neema za Bwana tutajifunza mambo kutoka kwa wanawake watakatifu wa zamani, naamini wewe kama Binti, dada,Mama, una cha kujifunza kutoka kwa hawa wanawake Lakini kabla ya kuendelea mbele hebu tueke msingi kidogo,…….
WALAKINI ATAOKOLEWA KWA UZAZI WAKE
Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo lihimidiwe milele na milele, Yeye aliye Alfa na Omega, Mwanzo na Mwisho, Aliyekuwepo, aliyeko na atakayekuja…. Nikukaribishe Dada, Binti, Mama, tuyatafakari Maneno ya Mungu wetu ili tuongeze Maarifa zaidi kila wakati…. Imetupasa tuwe watu wa kuongeza maarifa kila siku, na tunayaongeza Maarifa kwa kusoma Neno la Mungu, Biblia takatifu,…
YUAAIBISHA KICHWA CHAKE
Karibu tujifunze Maneno ya Uzima ya Bwana wetu Yesu Kristo, Mfalme wa wafalme na Bwana wa Mabwana.. Kuna kipindi nilifikia nikaona kila kitu Nina maamuzi yangu binafsi, hata nani aniambie, anishauri bado niliona Nina uwezo wa kufanya maamuzi yangu jinsi nipendavyo, kitu ambacho kiuhalisia ni kweli, na huenda nilikuwa sawa kabisa… Kumbe nilikuwa nakosea sana…