Shalom. Mtu apitaye cheo ni mtu wa namna gani? turejee.. 2Yohana 1:9 “KILA APITAYE CHEO, wala asidumu katika mafundisho ya Kristo, yeye hana Mungu. Yeye adumuye katika mafundisho hayo, huyo ana Baba na Mwana pia”. Cheo ni kipimo.. Mfano mtu mwenye cheo/nafasi kubwa katika kazi Fulani basi ana cheo kikubwa katika kazi hiyo, au Mtu…
Category: Uncategorized
Kuota Ng’ombe (Unakimbizwa, umempanda n.k)
Angalizo: Ndoto inaweza kuwa na tafsiri zaidi ya moja, hivyo baada ya kusoma tafsiri hizi, ni vyema ukaketi na kumwuliza Roho Mtakatifu kwa uthibitisho kamili. Kibiblia Ng’ombe anawakilisha “Mwaka”. Kama kabla ya kulala ulikuwa huwazi mambo ya Ng’ombe wala kuyatafakari kwa siku hiyo, halafu ukajikuta usiku au mchana umeota Ng’ombe, aidha anakukimbiza, au wewe unamchunga,…
siku za mwisho
MTIHANI WA BIBLIA (part 21)
____Maswali ya biblia_____ 1.je ni nani aliye wakosesha Israeli kupigwa walipo enda kipigana naTaifa Ai Taifa dogo sana, na kupelekea Israel kupigwa. ________________ 2.je wana wa Asafu ni kabila gani? _________________ 3.Je nimfalme gani aliye oteshwa kuwa ufalme wake umekatwa kimebaki kisiki katika shina? ___________________ 4. Je mke wa kwanza aliye mwoa Daudi nia nani?…
MTIHANI WA BIBLIA (part 20)
___Maswali ya biblia___ 1.Je paulo alikutana wapi na Timotheo kwa mara ya kwanza? ______________ 2. Je ni wapelelezi gani(walio tumwa na Musa) waliofanikiwa kuifikia nchi ya ahadi? _______________ 3.je Amri ya kwanza inasemaje? _______________ 4.je Amri ya Nane inasemaje? ______________ 5.Amri ya 9 inasemaje ______________ 6.Amri ya 10 inasemaje ______________ 7.je ndugu yake Habili alikuwa…
MTIHANI WA BIBLIA (PART 19)
____Maswali ya biblia_____ 1.je ni nani mfalme gani aliye ingia katika hekalu la Mungu na kufukiza uvumba kama kuhani Mungu akampiga kwa ukoma? ______________ 2. Je. Amri ya tatu inasemaje? _______________ 3.je ni makosa gani ambayo daudi alimkosea Mungu hata,. Mungu akamwadhibu? ________________ 4.je wana wa Yusufu wakiume walikuwa wangapi na ni akina nani? ________________…
MTIHANI WA BIBLIA (part 18)
____maswali ya biblia_____ 1.je Danieli ni kabila gani? _______________ 2.je ni nabii gani aliye agizwa na Mungu kutembea uchi? ______________ 3.je ni Nabii gani aliye tabiri kufa kwa Mfalme Ahabu vitani? ________________ 4.wenye uhai wa 4 wana sura ngapi? ________________ 5. Je hekalu la Mungu linawakilisha nini kwetu sisi katika agano jipya? __________________ 6.je katika…
MTIHANI WA BIBLIA (part 17)
___Maswali ya biblia___ 1.yule mkushi alikuwa anasoma kitabu gani alipo kutana na filipo? ________________ 2.je amri ya 6 inasemaje? ________________ 3.je vile vinara saba vya taa vinawakilisha nini katika agano jipya? _________________ 4.Katika waraka wa Yuda, je Yuda aliwaandikia akina nani? ________________ 5.Je ni mwanamke gani katika biblia aliye leta miungu katika Israeli? ________________ 6.wakati…
MTIHANI WA BIBLIA (part 16) (MASWALI YA BIBLIA)
1.Je amri ya pili ni inasemaje? ______________ 2. Je ni watu gani ambao Paulo aliwaandikia kuwa wamelogwa? ______________ 3.je ni mtoto gani wa Daudi aliye uliwa na Sulemani? _________________ 4.Elisha alikufa kifo gani? __________________ 5.je ni nabii gani aliye simamisha mvua kwa miaka mitatu na nusu? ___________________ 6.wana wa kuhani Eli wanaitwa wakina nani? __________________…