Unapoota umechelewa kwenye harusi, hiyo ni ndoto ya tahadhari kutoka kwa Bwana. Ni nadra sana zote za namna hii kuwa na tafsiri ya ndoa halisi za kimwili, nyingi zinafunua ndoa za kiroho. Kibiblia sisi watu wa Mungu tunafananishwa na wanawali na Kristo ni Bwana arusi, na karamu yetu (yaani harusi) itafanyika mbinguni. Hivyo kama umeota…
Category: Uncategorized
KUOTA UNAVUNA NAFAKA SHAMBANI
Kama shughuli yako ni kilimo, basi kuota upo shambani unavuna ni jambo la kawaida, kwasababu maandiko yanasema ndoto huja kutokana na shughuli nyingi. Mhubiri 5:3 “Kwa maana ndoto huja kwa sababu ya shughuli nyingi…”. Lakini kama shughuli zako si kilimo na wala hujawahi kujishughulisha na kilimo, lakini unajikuta unaota upo shambani, unalima au unavuna, shamba…
MAANA ZA MAJINA.
Maana ya Jina YESU ni Yehova-Mwokozi, hili ndio jina lenye nguvu na KUU kuliko yote. Katika hilo tunaokolewa (Matendo 4:12), Katika hilo tunabatizwa (Matendo 2:38), na katika hilo tunaponywa. Si dhambi kulitaja jina hili bila sabavu yoyote, vile vile hapana mwanadamu yeyote anayepaswa kujipa au kupewa jina hili. Maana ya jina Dina/Dinah “Mungu amehukumu” Maana ya…
MAANA YA KUOTA UNAFANYA MAPENZI.
Unapoota unafanya tendo la ndoa au kuota unafanya mapenzi ni kiashiria cha nini? Awali ya yote tunapaswa kufahamu kuwa Ndoto yoyote ya zinaa, haitokani na Mungu..Ni aidha inatokana na mtu mwenyewe au shetani. Leo tutaangazia makundi mawili ya watu wanaoota ndoto za namna hii: Kama umeota ndoto hii na bado hujaokoka: Neno la Mungu linasema…..
MAANA YA KUOTA UPO MAKABURINI.
Makaburi ni mahali ambapo wanalazwa watu waliokufa… Hivyo kuota upo makaburini sio ishara nzuri. Katika biblia kuna wakati Bwana alikutana na mtu mmoja anayeishi makaburini, ambapo makazi yake yalikuwa ni kule siku zote, haondoki..maandiko yanatuambia mtu yule alikuwa ameingiliwa na pepo wengi sana..na lengo ni kuangamiza na kuua. Utauliza nimejuaje hilo, ukisoma habari ile utaona…
NINI MAANA YA KUOTA UNAPIGANA NA MTU.
Ndoto hiyo ya kuota unapigana inaweza kumaanisha aidha upo kwenye mashindano au vita.. 1. UPO KWENYE MASHINDANO. Kwa namna ya kawaida, ikiwa kipo kitu Fulani ambacho kinathamani fulani, na wote mnakitamani au kukigombania ili mkipate, au mmoja anakizuia ili kisipatikane, ni rahisi kutokea kutokuelewa na mwisho wa siku mapigano, kwamfano wengine wanaishia kupigana kisa, fedha,…
KUOTA UPO NCHI ZA NJE.
Kikawaida mtu unapo safiri, huwa unakutana na mandhari nyingi na tofauti tofauti, sehemu nyingine utakutana na mandhari za joto, za mvua, sehemu nyingine utakutana na mazingira ya hatari Wana wa Israeli walipotolewa katika nchi yao, wakiwa njiani kuelekea Babeli walilia sana, zaidi sana wakaldayo waliwaambia wawaimbie nyimbo za nchini kwao, lakini walishindwa..na hawakuweza, kwa jinsi…
UNAPOOTA AJALI NINI MAANA YAKE?
Mtu anaweza kuota kapata ajali ya pikipiki, au ya gari, wengine wengine ajali za ndege, wengine treni, katika namna tofauti tofauti. Wengine wanaota mtu kagongwa na gari, au magari yanagonga gongana n.k… Sasa hizi ndoto zinawajia watu wa makundi makuu mawili 1.) Kundi la kwanza ni waliompokea Yesu (yaani waliokoka). 2) Kundi la pili ni…
KUOTA UNAOKOTA HELA
Ndoto ya kuota unaokota hela inaweza gawanyika katika makundi mawili ambayo ni, 1) Kuota unaokota Sarafu 2) Kuota unaokota noti. Ndoto yoyote inayohusisha kuokota fedha, haina maana nzuri kama inavyotegemewa. Fedha ya kuokota haina tofauti na fedha ya wizi, uchungu anaoupata mtu aliyepoteza fedha hauna tofauti na yule aliyeibiwa, hivyo kuokota pesa sio jambo la…