Menu
NDOTO ZANGU
  • ORODHA YA NDOTO
  • MASOMO YA WANAWAKE
  • QUIZZES/ MITIHANI YA BIBLIA
NDOTO ZANGU

MAANA ZA MAJINA.

Posted on February 12, 2022October 24, 2022

Maana ya Jina YESU ni Yehova-Mwokozi, hili ndio jina lenye nguvu na KUU kuliko yote. Katika hilo tunaokolewa (Matendo 4:12), Katika hilo tunabatizwa (Matendo 2:38), na katika hilo tunaponywa. Si dhambi kulitaja jina hili bila sabavu yoyote, vile vile hapana mwanadamu yeyote anayepaswa kujipa au kupewa jina hili.

  1. Maana ya jina Dina/Dinah “Mungu amehukumu”
  2. Maana ya Mariamu ni “mpendwa”
  3. Maana ya  Jothan ni “Mungu ni thabiti“
  4. Maana ya Dorkasi ni “Paa”
  5. Maana ya Petro(Peter) ni “Jiwe”   
  6. Maana ya Amos ni “Aliyebebwa na Mungu“
  7. Maana ya jina Lightness ” mwangaza”
  8. Maana ya jina Rebeca ni “Kufunga kitu imara“
  9. Maana ya Mohan ni “Anayevutia”
  10. Maana ya jina Evance ni “Mkarimu’
  11. Maana ya Careen ni “Mwanamke wa amani“
  12. Maana ya Declan ni “mema mengi”
  13. Maana ya jina Traves ni “Kukatiza” mf. “mtu kakatiza barabara”
  14. Maana ya jina Juliet ni “Aliye kijana”
PDF
Pages: 1 2
Subscribe
Login
Notify of
guest

guest

0 Comments
Inline Feedbacks
View all comments

Recent Comments

  1. Lillie on MASWALI YA KITABU CHA 1 WAFALME, I
  2. watakatifuwasikuzamwisho on MASWALI, INJILI YA MATHAYO
  3. Noel Swai on MASWALI, INJILI YA MATHAYO
  4. watakatifuwasikuzamwisho on MASWALI YA KITABU CHA YOSHUA I
  5. watakatifuwasikuzamwisho on MASWALI YA KITABU CHA MWANZO

Palipo na Roho wa Bwana hapo ndipo penye uhuru
©2025 NDOTO ZANGU | Powered by SuperbThemes & WordPress
wpDiscuz