MASWALI YA KITABU CHA MWANZO Welcome to your MASWALI YA KITABU CHA MWANZO I Mungu alipumzika siku ya ngapi? Add description here! Saba Kwanza Pili Tatu Adamu aliishi miaka mingapi? 69 100 930 150 Mungu aliuteketeza miji gani kwa kibiriti na moto?? Misri Kaanani Sodoma na Gomora Gerari Ni agano gani Mungu aliloweka kati ya yake na nchi baada ya Nuhu na wote kutoka ndani ya safina? Ya sadaka ya kuteketezwa Ya kulindwa Upinde mawinguni La damu Kaini alikua anafanya kazi gani? Mkulima Mvuvi Mwokaji Mchunga kondoo Nani alipata neema machoni pa Mungu na kughairi mabaya kwao? Ibrahimu Nuhu Henoko Lameki Baada ya Kaini kumuua Habili Mungu alimwekea nini Kaini kama ulinzi kwake? Fimbo Nyota Alama Wanyama Yusufu aliuzwa kwa watu gani? Beer-sheba Wagareri Wamisri Waishmaeli Binadamu wa kwanza kuumbwa alikua nani? Mwanamke Mwanaume Nani alomdanganya Eva kula tunda la mti wa uzima? Mwenyewe Adamu Nyoka Kisima ambacho alichimba Isaka ambacho hakikugombaniwa na wachungaji wa Gerari? Sitna Rehobothi Eseki Nani alimsaidia Farao kufasiri ndoto? Waganga Mnyweshaji Yusufu Mwokaji Nani alimwuzia mwenzake haki ya mzaliwa wa kwanza? Esau Ibrahimu Yakobo Kaini Hapo mwanzo Mungu aliumba nini? Bahari Mbingu na nchi Samaki Binadamu Kijakazi wa Sarai alikua nani? Raheli Hajiri Dina Rebeka 1 out of 1 Please fill in the comment box below. Time is Up! Time's up
Amina sana m,Bwana akubariki mpendwa wetu
RACHEL JOHN LUTIGA
Mungu awabariki
Amen akubariki nawe pia..
Amen.
Ubarikiwe sana sana pia
Amen
Asante kwa maswali
Shalom maswal mazuri ya kutujenga kiimani Asante sana
Nzuri