Bwana Yesu Kristo asifiwe milele na milele…karibu tujifunze Neno la Mungu…. Ni shauku ya Mungu kila siku tuwe ni watu wa kuongeza maarifa katika kumjua yeye…. Kipindi cha injili ya Bwana Yesu akiwa duniani,kilikuwa ni kipindi chenye baraka na Neema sana,ilifika wakati sio lazima uwe mwanafunzi wake na wala alikuwa haji kukulazimisha uwe mfuasi wake…
Month: January 2023

TAFAKARI KWAKO MKRISTO.
Lipo jambo muhimu sana ambalo unapaswa kulitafakari wewe kama Mkristo (yaani wewe uliye mkiri Yesu Kristo kwa kinywa chako na kumwamini moyoni mwako) sawa sawa na andiko la Warumi 10:10 Kwa maana kwa moyo mtu huamini hata kupata haki, na kwa kinywa hukiri hata kupata wokovu. Na kubatizwa katika ubatizo sahihi ambao ni wa kuzamishwa…

ZIWA LA MOTO
Shalom…… Karibu tujifunze Biblia takatifu ambalo ndilo Neno la Mungu wetu….. Wengi wetu tumeshawahi kulisikia hili Neno ziwa la Moto na pengine limeshakuwa mazoea kwetu kulitaja,lakini nimependa leo tuliangalie kwa namna nyingine tena naamini kuna mambo utajifunza…. Tukilileta kwa lugha rahisi hili Neno ziwa la Moto tutaitafsiri kama Adhabu,.na tukumbuke Adhabu hi haikutolewa kwa wanadamu…