Kama ulikuwa unawaza au kufikiri sana habari ya kuwa na mtoto, basi ni kawaida kuota ndoto za kujifungua kwasababu ndio kitu kinachoendelea kwa wingi katika mawazo yako na akili zako . Biblia inasema. Mhubiri 5:3 “Kwa maana ndoto huja kwa sababu ya shughuli nyingi;……”. Hivyo ndoto ya namna hii inapokujia ipuuzie tu!, kwasababu ni wanawake…
Category: Ndoto kutoka kwa Mungu.
MAANA YA KUOTA UNACHIMBUA VIAZI, MIHOGO AU MADINI
Kama unajihusisha sana na shughuli za mashambani au bustanini ni kawaida kuota ndoto za namna hiyo, kwasababu si kila ndoto tunazoota zinatoka kwa Mungu au shetani, nyingi zinatengenezwa na miili yetu, kutokana na shughuli tunazozifanya mara kwa mara soma Mhubiri 5:3, Hivyo kama upo katika mazingira hayo, hiyo ni ndoto ya kawaida tu!, ipuuzie kwasababu…
KUOTA UPO NCHI ZA NJE.
Kikawaida mtu unapo safiri, huwa unakutana na mandhari nyingi na tofauti tofauti, sehemu nyingine utakutana na mandhari za joto, za mvua, sehemu nyingine utakutana na mazingira ya hatari Wana wa Israeli walipotolewa katika nchi yao, wakiwa njiani kuelekea Babeli walilia sana, zaidi sana wakaldayo waliwaambia wawaimbie nyimbo za nchini kwao, lakini walishindwa..na hawakuweza, kwa jinsi…
KUOTA UNAJENGA NYUMBA.
Nini maana ya kuota unajenga Nyumba, ngome, mji au mnara? Ndoto hizi zimegawanyika katika sehemu kuu tatu , 1) Unaota unajenga nyumba lakini haiishi, au unaishia katikati 2) Unaota unajenga nyumba inakamilika lakini baadaye inaanguka au unanyang’anywa. 3) Unaota unajenga nyumba na inakamilika vizuri. Tutaangalia kundi moja baada ya lingine. Unaota unajenga nyumba lakini haiishi….
Kuota Mbwa
Kuota unafukuzwa na Mbwa, au umeumwa na Mbwa, au umezungukwa na mbwa Maana yake nini?. Mnyama Mbwa katika roho anawakilisha vitu viwili. 1. Roho ya uzinzi/uasherati 2. Roho za manabii wa uongo. 3. Roho ya umaskini. Katika biblia wanaume wanaofanya kazi ya kujiuza kinyume na maumbile walijulikana kama Mbwa. Kumbukumbu 23:18 “Usilete ujira wa kahaba,…
KUOTA UPO CHOONI
Kuota upo chooni, unajisaidia haja kubwa au haja ndogo, au wakati mwingine unajiona uko peku chooni na choo ni kichafu. Nini maana yake? Unapoota upo chooni na unakojoa mkojo usioisha, mara nyingi inatokana na kwamba kibofu kimejaa mkojo, hivyo hiyo ni kawaida. Lakini unapojikuta unaota upo chooni, tena wakati mwingine peku, na choo ni kichafu,…