____Maswali ya biblia_____
1.je ni nani aliye wakosesha Israeli kupigwa walipo enda kipigana naTaifa Ai Taifa dogo sana, na kupelekea Israel kupigwa.
________________
2.je wana wa Asafu ni kabila gani?
_________________
3.Je nimfalme gani aliye oteshwa kuwa ufalme wake umekatwa kimebaki kisiki katika shina?
___________________
4. Je mke wa kwanza aliye mwoa Daudi nia nani?
___________________
5.Je ni Kwanini Yezebeli alimwua Nabothi?
____________________
6.je Dada yake Absalomu aliitwa nani?
____________________
7. Je Yuda mwana wa Yakobo. Alizaa watoto wa kiume wangapi?
_____________________
8; katika biblia ni Malkia gani aliye itwa na mfalme akadharau wito wake na kutolewa nafasi ya umalkia.
_____________________
9.je katika nyaraka za paulo ni kitabu gani alicho kiandika kwa lengo la kuwapatanisha ndugu wawili mtu na mfanya kazi wake walio koseana na kutengana kwa Muda mrefu?
______________________
10. Ni nini maana ya wanikolai?
_____________________
BWANA YESU akubariki, shea na kwa wengine.
@NURU YA UPENDO WA KRISTO
www.wingulamashahidi.org
0652274252 au 0693036618
09/02/2023
___MASAHIHISHO LEO____
MTIHANI WA BIBLIA (part 21)
____Maswali ya biblia_____
1.je ni nani aliye wakosesha Israeli kupigwa walipo enda kipigana naTaifa Ai Taifa dogo sana, na kupelekea Israel kupigwa.
Jibu. AKANI MWANA WA ZERA
Soma. Yoshua 7:1-26
________________
2.je wana wa Asafu ni kabila gani?
Jibu. LAWI
Soma. 1Nyakati 15:16-19
_________________
3.Je nimfalme gani aliye oteshwa kuwa ufalme wake umekatwa kimebaki kisiki katika shina?
Jibu. NEBUKADNEZA
Soma. Danieli 4:9-15
___________________
4. Je mke wa kwanza aliye mwoa Daudi nia nani?
Jibu. MIKALI BINTI SAULI
Soma.1Samweli 18:27
___________________
5.Je ni Kwanini Yezebeli alimwua Nabothi?
Jibu. Ni kwasababu ya kiwanja cha Nabothi alichokuwa anakitaka mfalme Ahabu alipo kosa ndipo Yezebeli akaandaa njama za kumwua Nabothi
Soma. 1WAFALME 21;1-6
____________________
6.je Dada yake Absalomu aliitwa nani?
Jibu. TAMALI
Soma. 2Samweli 13:1
____________________
7. Je Yuda mwana wa Yakobo. Alizaa watoto wa kiume wangapi?
Jibu. WATOTO WATANO
KWA SHUA WATOTO WATATU
1.ERI
2.ONANI
3.SHELA
. KWA TAMARI WAWILI
1.ZERA
2.PERESI
Soma.28;1-30
_____________________
8; katika biblia ni Malkia gani aliye itwa na mfalme akadharau wito wake na kutolewa nafasi ya umalkia.
Jibu. VASHTI
Soma. Esta 1;1-22
_____________________
9.je katika nyaraka za paulo ni kitabu gani alicho kiandika kwa lengo la kuwapatanisha ndugu wawili mtu na mfanya kazi wake walio koseana na kutengana kwa Muda mrefu?
Jibu. KITABU CHA FILEMONI
Upatanishi kati ya FILEMONI na ONESIMO
Soma. Filemoni 1;8-21
Ikiwa unahitaji ufafanuzi Zaidi wa kitabu hiki cha filemoni tutafute kwa namba hizi
0652274252 au 0693036618
______________________
10. Ni nini maana ya wanikolai?
Jibu. (Wateka madhabahu) watumishi wauongo wanaoleta mafundisho ya kibinadamu kanisani yasiyo ya ROHO MTAKATIFU na NENO LA MUNGU
Soma. ufunuo 2:5-6
Pia ukihitaji kujifunza zaidi kwa habari ya wanikolai ni watu gani na madhara yao ndani ya kanisa tutafute kwa namba hizi 0652274252 au 0693036618
_____________________
BWANA YESU akubariki, shea na kwa wengine.
@NURU YA UPENDO WA KRISTO
www.wingulamashahidi.org
0652274252 au 0693036618