Menu
NDOTO ZANGU
  • Home
  • Orodha ya Ndoto
  • Quizzes & Surveys
  • Contant
  • English Articles
  • Kuhusu
  • MASOMO KWA WANAWAKE
  • Donation Confirmation
  • Donation Failed
  • Donor Dashboard
  • User
  • Login
  • Register
  • Members
  • Logout
  • Account
  • Password Reset
NDOTO ZANGU

Month: February 2023

KWA NENO LAKO, nitazishusha nyavu”

Posted on February 5, 2023February 6, 2023

Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo libarikiwe milele….Ni siku nyingine kwa Neema zake… Karibu tujifunze Maneno yake… ….Leo nataka tuitafakari kauli moja ya Mtume Petro,kupitia kauli hiyo tutapata vingi vya kujifunza na sisi..Kama tunavyofamfahamu,ni Mtume aliyekuwa na ufunuo mwingi kumuhusu Yesu,kipindi cha Bwana yupo duniani hata wakati hayupo,alifanikiwa kuzijua siri nyingi sana za Ufalme wa…

UKO WAPI? Mwanzo 3:9

Posted on February 2, 2023

Shalom,Bwana Yesu Kristo asifiwe..Karibu tena tujifunze Maneno ya Mungu… Mwanzo 3:9 [9]BWANA Mungu akamwita Adamu, akamwambia, Uko wapi? Kabla ya Uovu kuingia pale eden ukaribu wa Mungu na Adamu ulikuwa ni mkubwa sana.. kama tunavyofahamu habari yenyewe,kulikuwa hakuna haja ya kuitana itana kila wakati,Maandiko yanatuonyesha Mungu alipokuwa akitaka kuzungumza na Adamu alikuwa akashuka na kuongea…

UTAOKOKA LINI?

Posted on February 2, 2023February 4, 2023

Utukufu na heshima na zirudi kwake Bwana wetu Yesu Kristo, yeye aliyetupa Neema ya siku nyingine na uhai tele…Sifa ni zake milele… Nakukaribisha tuendelee kujifunza maneno ya Uzima wetu… UTAOKOKA LINI? Hili ni swali ambalo mwanadamu yoyote aliye na pumzi ya Mungu anatakiwa kujiuliza kila wakati, swali hili haliangalii dini yako, na wala halijalishi kama…

Palipo na Roho wa Bwana hapo ndipo penye uhuru
©2023 NDOTO ZANGU | Powered by SuperbThemes & WordPress