Menu
NDOTO ZANGU
  • ORODHA YA NDOTO
  • MASOMO YA WANAWAKE
  • QUIZZES/ MITIHANI YA BIBLIA
NDOTO ZANGU

Month: September 2022

WAACHENI WATOTO WADOGO

Posted on September 15, 2022October 22, 2022

Jina  la Mwokozi wetu Yesu Kristo lisifwe…Nawasalimu nyote, natumai tu wazima kwa Neema za Bwana Yesu… Tukaribie pamoja tuyatafakari Maneno ya Mungu wetu kila siku….. Leo kwa Neema za Bwana tutatafakari andiko moja ambalo limekuwa likijulikana na wengi na kufahamika sana,,lakini kuna namna nyingine ambayo Bwana anatamani tuifahamu maana Biblia inasema… Zaburi 12:6 [6]Maneno ya…

WANAWAKE WATAKATIFU WA ZAMANI WALIOMTUMAINI MUNGU

Posted on September 7, 2022October 30, 2022

Nakusalimu Kwa Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo, Karibu tujifunze Neno la Mungu ambalo ndio taa na mwanga wa maisha yetu…. Leo kwa Neema za Bwana tutajifunza mambo kutoka kwa wanawake watakatifu wa zamani, naamini wewe  kama Binti, dada,Mama, una cha kujifunza kutoka kwa hawa wanawake Lakini kabla ya kuendelea mbele hebu tueke msingi kidogo,…….

UNAPOOTA UNAJIFUNGUA MAANA YAKE NINI?

WALAKINI ATAOKOLEWA KWA UZAZI WAKE

Posted on September 2, 2022October 30, 2022

Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo lihimidiwe milele na milele, Yeye aliye Alfa na Omega, Mwanzo na Mwisho, Aliyekuwepo, aliyeko na atakayekuja…. Nikukaribishe Dada, Binti, Mama, tuyatafakari Maneno ya Mungu wetu ili tuongeze Maarifa zaidi kila wakati…. Imetupasa tuwe watu wa kuongeza maarifa kila siku, na tunayaongeza Maarifa kwa kusoma Neno la Mungu, Biblia takatifu,…

Palipo na Roho wa Bwana hapo ndipo penye uhuru
©2025 NDOTO ZANGU | Powered by SuperbThemes & WordPress