Kuota upo chooni, unajisaidia haja kubwa au haja ndogo, au wakati mwingine unajiona uko peku chooni na choo ni kichafu. Nini maana yake? Unapoota upo chooni na unakojoa mkojo usioisha, mara nyingi inatokana na kwamba kibofu kimejaa mkojo, hivyo hiyo ni kawaida. Lakini unapojikuta unaota upo chooni, tena wakati mwingine peku, na choo ni kichafu,…