Menu
NDOTO ZANGU
  • ORODHA YA NDOTO
  • MASOMO YA WANAWAKE
  • QUIZZES/ MITIHANI YA BIBLIA
NDOTO ZANGU

MTIHANI WA BIBLIA (part 20)

Posted on March 31, 2023

___Maswali ya biblia___

1.Je paulo alikutana wapi na Timotheo kwa mara ya kwanza?

______________
2. Je ni wapelelezi gani(walio tumwa na Musa) waliofanikiwa kuifikia nchi ya ahadi?

_______________
3.je Amri ya kwanza inasemaje?

_______________
4.je Amri ya Nane inasemaje?

______________
5.Amri ya 9 inasemaje

______________
6.Amri ya 10 inasemaje

______________
7.je ndugu yake Habili alikuwa nani?

______________
8.Je katika biblia Mtume paulo alichapwa fimbo mara ngapi.

________________
9.Je Ohola na Oholiba ni akina nani?

________________
10.je Hosea Nabii alitabili wakati wa kipindi cha wafalme gani?

_________________

Bwana Yesu akubariki. Shea na kwa wengine.

@NURU YA UPENDO WA KRISTO
www.wingulamashahidi.org
0652274252 au 0693036618

 

 

 

 

 

08/03/2023

__MASAHIHISHO LEO____

MTIHANI WA BIBLIA (part 20)
___Maswali ya biblia___

1.Je paulo alikutana wapi na Timotheo kwa mara ya kwanza?

Jibu. Katika miji ya RISTRA NA IKONIO
soma. Matendo 16:1-3
______________
2. Je ni wapelelezi gani(walio tumwa na Musa) waliofanikiwa kuifikia nchi ya ahadi?

Jibu. 1) YOSHUA MWANA WA NUNI
2)KALEBU MWANA WA YEFUNE
Soma. Hesabu 13:1-33
_______________
3.je Amri ya kwanza inasemaje?

Jibu. KUTOKA 20:3
Usiwe na miungu mingine, ila mimi.
_______________
4.je Amri ya Nane inasemaje?

Jibu. KUTOKA 20:15
USIIBE
______________
5.Amri ya 9 inasemaje

Jibu. KUTOKA 20:16
Usimshuhudie jirani yako uongo.
______________
6.Amri ya 10 inasemaje

Jibu. KUTOKA 20:17
Usiitamani nyumba ya jirani yako, usimtamani mke wa jirani yako; wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng’ombe wake, wala punda wake, wala cho chote alicho nacho jirani yako.
______________
7.je ndugu yake Habili alikuwa nani?

Jibu. KAINI
Soma. Mwanzo 4:1-2
______________
8.Je katika biblia Mtume paulo alichapwa fimbo mara ngapi.

Jibu. MARA 8
1)mara 5 na wayahudi kwa mapigo 39
2)mara 3 kwa mataifa
Soma. 2Wakorintho 11:24-25
________________
9.Je Ohola na Oholiba ni akina nani?

Jibu. Taifa la Israeli
1)Ohola ni SAMARIA Kaskazini mwa Israeli
2)Oholiba ni YUDA kuzini mwa Israeli
Ni majina ambayo Bwana Mungu aliwapa kutokana na uovu wao kwa kuifuata miungu mingine na kuiacha sheria ya Bwana.
Soma. Ezekieli 23:1-49

________________
10.je Hosea Nabii alitabili wakati wa kipindi cha wafalme gani?

Jibu. Wafalme wa yuda
1)Uzia
2)HEZEKIA
3) YOASHI
4)YOTHAMU
5)AHAZI

Wafalme israeli
1)Yeroboamu
Soma. Hosea 1;1
_________________

Bwana Yesu akubariki. Shea na kwa wengine.

@NURU YA UPENDO WA KRISTO
www.wingulamashahidi.org
0652274252 au 0693036618

PDF
Subscribe
Login
Notify of
guest

guest

0 Comments
Inline Feedbacks
View all comments

Recent Comments

  1. Lillie on MASWALI YA KITABU CHA 1 WAFALME, I
  2. watakatifuwasikuzamwisho on MASWALI, INJILI YA MATHAYO
  3. Noel Swai on MASWALI, INJILI YA MATHAYO
  4. watakatifuwasikuzamwisho on MASWALI YA KITABU CHA YOSHUA I
  5. watakatifuwasikuzamwisho on MASWALI YA KITABU CHA MWANZO

Palipo na Roho wa Bwana hapo ndipo penye uhuru
©2025 NDOTO ZANGU | Powered by SuperbThemes & WordPress
wpDiscuz