Menu
NDOTO ZANGU
  • ORODHA YA NDOTO
  • MASOMO YA WANAWAKE
  • QUIZZES/ MITIHANI YA BIBLIA
NDOTO ZANGU

MASWALI YA KITABU CHA YOSHUA I

Welcome to your MASWALI YA KITABU CHA YOSHUA I

1. 
Ni kwa namna gani Waisraeli waliangusha ukuta wa Yeriko?

2. 
Nani aliwapa wapelelezi wa Israeli makazi katika mji wa Yeriko?

3. 
Nini kilitokea kwa Waisraeli huko Gilgali?

4. 
Kwa hotuba ya mwisho ya Yoshua, alisema mtu mmoja anaweza kuwakimbiza maadui ___kwa kua Mungu ndiye anayetupigania.

5. 
Baadabya kifo cha Musa Waisraeli walivuka mto gani kuelekea nchi ya ahadi?

6. 
Rahabu aliwaficha wapi wapelelezi wa Israeli?

7. 
Waisraeli waliwafanyia nini watu wa Yeriko?

8. 
Wazawa wa nani walikuwa makabila mawili ya Israeli?

9. 
Waisraeli walichukua nini katikati ya mtk Yordani wakati wanavuka kuelekea nchi ya ahadi?

10. 
Mawe waliyoyatoa katika mto Yordani yaliwakilisha nini?

11. 
Ni watu gani katika nchi ya ahadi ambao walimdanganya Yoshua kuhusu mahali walipotokea?

12. 
Mungu aliwafanya nini Waamori ili kuwapa ushindi Waisraeli katika njia ya Beth-horoni mpaka Aseka?

13. 
Kalebu aliahidi kutoa nini kwa mtu atakayetengeneza kuuteka mji wa Kiriath- Seferi?

14. 
Ni kwa namna gani Rahabu aliwapa kuwajulisha wapelelezi kujua nyumba yake ili iokolewe na maafa?

15. 
Baada ya Yoshua kudanganywa na Wagibeoni aliwafanya nini?

clock.png

Time is Up!

clock.png

Time's up

2 thoughts on “MASWALI YA KITABU CHA YOSHUA I”

  1. Lillie says:
    April 26, 2025 at 7:52 pm

    God is Good All the time

    Reply
    1. watakatifuwasikuzamwisho watakatifuwasikuzamwisho says:
      May 5, 2025 at 8:34 am

      Amen

      Reply

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recent Comments

  1. Lillie on MASWALI YA KITABU CHA 1 WAFALME, I
  2. watakatifuwasikuzamwisho on MASWALI, INJILI YA MATHAYO
  3. Noel Swai on MASWALI, INJILI YA MATHAYO
  4. watakatifuwasikuzamwisho on MASWALI YA KITABU CHA YOSHUA I
  5. watakatifuwasikuzamwisho on MASWALI YA KITABU CHA MWANZO

Palipo na Roho wa Bwana hapo ndipo penye uhuru
©2025 NDOTO ZANGU | Powered by SuperbThemes & WordPress