MASWALI, INJILI YA MATHAYO Welcome to your Maswali, Injili ya Mathayo 1. Mamaye Bwana Yesu aliitwa nani? Mariamu Magdalene Hana Mariamu Miriamu 2. Aliyemfuata Bwana Yesu juu ya maji ni nani? Yohana Tomaso Petro Andrea 3. Jina lingine la Simoni Petro ni nani? Petro-Mgalilaya Petro-Yusto Simon Mkananayo Simoni Bar-Yona 4. Chachu ya Mafarisayo na Masadukayo ni nini? Dini yao Maisha yao Mafundisho yao Mienendo yao 5. Pazia la Hekalu lilipasuka vipande vingapi, baada ya Bwana kufa? Vipande 2 Vipande 7 Vipande 12 Vipande 3 6. Roho ya Eliya ilikuwa juu ya nani? Paulo Yohana Mbatizaji Bwana Yesu Yohana wa Patmo 7. Taa ya mwili ni nini? Hekima Jicho Akili Moyo 8. Mathayo alikuwa anafanya shughuli gani kabla ya kukutana na Bwana? Ujenzi Mtoza ushuru Tabibu USeremala 9. Heri wenye upole kwa maana? watairithi nchi watainuliwa watapendwa watapiganiwa 10. Mamajusi walitokea wapi? Mashariki ya mbali Misri Ashuru Moabu 11. Walipo wawili au watatu wamekusanyika kwa jina la Bwana.. Yeye atawatokea Yeye yupo katikati yao Yeye atawaokoa Yeye atawatuma 12. Mwanafunzi gani aliyemkana Bwana Yesu? Yuda Andrea Petro Filipo 13. Bwana Yesu alizaliwa katika mji upi? Galilaya Nazareti Bethlehemu Yerusalemu 14. Ni nani aliyemkata kichwa Yohana Mbatizaji? Herode Kayafa Pilato Kaisari 15. Heri walio maskini wa roho; kwa maana?. watafarijiwa watakuwa matajiri Ufalme wa mbinguni ni wao wataokolewa 16. Mwanamke aliyetokwa na damu alikuwa na ugonjwa huo kwa muda gani? miaka 8 Miaka 12 miaka 40 Miaka 20 17. Madhehebu ya Wayahudi mawili yalikuwa ni yapi? Waandishi na wanasheria Maherode na Maherodia Mafarisayo na Masadukayo Makuhani na Waandishi 18. Mwanafunzi gani aliyemkata mtumwa wa kuhani mkuu sikio? Yuda Petro Thadayo Tomaso 19. Yohana Mbatizaji alitokea wapi? Nyika ya Uyahudi Bethlehemu Yordani Samaria 20. Ya Kaisari anayopaswa apewe ni yapi? Starehe Kodi Anasa Dhambi 21. Babaye Bwana Yesu aliitwa nani? Yusufu wa Arimathaya Baba mtakatifu Yusufu Yosia 22. Bwana Yesu alitokea katika kabila lipi la Israeli? Lawi Yuda Manase Bethlehemu 23. Bwana Yesu alijaribiwa kwa siku ngapi jangwani? 40 70 3 20 24. Roho Mtakatifu alishuka juu ya Bwana Yesu kwa mfano wa nini? Nyota kivuli Huwa Mwanga 25. Nani mwandishi wa kitabu cha Mathayo? Yohana Mbatizaji Bwana Yesu Paulo Mathayo 26. Ni nini kilitoka ubavuni mwa Yesu pale Kalvari? Damu na Roho Roho na Damu Damu na Maji Damu 27. Imani ndogo kama nini inaweza kuhamisha milima? Chembe ya Ngano Mbegu ya mchicha Ndogo kama punje ya mchanga Chembe ya haradali 28. Kitabu cha Injili ya Mathayo kina sura ngapi? 40 18 28 24 1 out of 1 Please fill in the comment box below. Time is Up! Time's up
Maswali ni rahisi lakini kama hujafuatilia hicho kitabu vizuri utakuwa na tashwiswi kama Mimi, inanibidi nirudie hicho kitabu Reply
Maswali ni rahisi lakini kama hujafuatilia hicho kitabu vizuri utakuwa na tashwiswi kama Mimi, inanibidi nirudie hicho kitabu
Ni kweli, maswali si magumu
I got everything
Hongera sana…yanakuja mengine
I need them
Kuna haja ya kusoma sana biblia
Amen