1.Kwanini Mfalme Daudi hakumjengea Mungu hekalu?
__________________
2.Sulemani alikuwa na wake wangapi?
_________________
3. Jemedari wa jeshi la Sauli aliitwa nani?
________________
4.Kuhani wa kwanza kwenye biblia alikuwa ni nani?
_________________
5.Mtoto wa Yezebeli aliitwa nani
__________________
6.Je ni watu gani waliokuwa wapinzani wa Nehemia katika kuujenga Yerusalemu?
________________
7.katika biblia ni nani ambaye punda wake aliongea na kwanini?
_________________
8.Hadasa ni nani katika biblia?
_________________
9. (Nanyi mnalindwa na nguvu za Mungu kwa njia ya imani ) je kifungu hiki kinapatikana wapi katika biblia
_________________
10. Kitabu cha ufunuo Yohana ,Mtume Yohana alikiandika akiwa wapi?
Nakutakia mtihani mwema Mjoli wa Bwana.
@NURU YA UPENDO
www.wingulamashahidi.org
0652274252 au 0693036618
02/03/2023
MASAHIHISHO YA MTIHANI LEO
MTIHANI WA BIBLIA (part 14)
(MASWALI YA BIBLIA)
1.Kwanini Mfalme Daudi hakumjengea Mungu hekalu?
Jibu. 1)Kwasababu Daudi mikono yake ilimwaga damu nyingi sana
Soma. 1Nyakati 22:7-8
2)Alikuwa amezungukwa na maadui wengi
Soma 1wafalme 5:3
__________________
2.Sulemani alikuwa na wake wangapi?
Jibu. 1000
Ambapo wake 700 na masulia 300
Soma 1Wafalme 11:1-3
_________________
3. Jemedari wa jeshi la Sauli aliitwa nani?
Jibu. ABNELI
Soma. 1Samweli 14:50
________________
4.Kuhani wa kwanza kwenye biblia alikuwa ni nani?
Jibu. MELKIZEDEKI
Soma. Mwanzo 14;18
_________________
5.Mtoto wa Yezebeli aliitwa nani?
Jibu. ==Athalia 2Wafalme 8;18
==Yoramu 2wafalme 8-16
__________________
6.Je ni watu gani waliokuwa wapinzani wa Nehemia katika kuujenga Yerusalemu?
Jibu. SANBALATI NA TOBIA NA GESHEMU (Wengine walikuwa nyuma ya hawa)
Soma .Nehemia 4:2
________________
7.katika biblia ni nani ambaye punda wake aliongea na kwanini?
Jibu. BAALAMU
Sababu. Aliongea kwasababu alipigwa na Baalam nabii wa uongo alipokuwa akitaka kwenda kuwa laani Israeli kwa mfalme Balaki
Ukihitaji habari zaidi kijifunza zaidi juu ya Baalam nabii wa uongo nitafute kwa namba hizi 0652274252 au 0693036618
_________________
8.Hadasa ni nani katika biblia?
Jibu. Malkia ESTA
Soma. Esta 2:7
_________________
9. (Nanyi mnalindwa na nguvu za Mungu kwa njia ya imani ) je kifungu hiki kinapatikana wapi katika biblia
Jibu. 1petro 1:5
_________________
10. Kitabu cha ufunuo Yohana ,Mtume Yohana alikiandika akiwa wapi?
Jibu. Katika kisiwa cha PATMO
Soma. Ufunuo 1:9
BWANA YESU akubariki sana Mjoli wa Bwana.
@NURU YA UPENDO
www.wingulamashahidi.org
0652274252 au 0693036618