Menu
NDOTO ZANGU
  • Home
  • Orodha ya Ndoto
  • Quizzes & Surveys
  • Contant
  • English Articles
  • Kuhusu
  • MASOMO KWA WANAWAKE
  • Donation Confirmation
  • Donation Failed
  • Donor Dashboard
  • User
  • Login
  • Register
  • Members
  • Logout
  • Account
  • Password Reset
NDOTO ZANGU

MTIHANI WA BIBLIA (part 18)

Posted on March 31, 2023

____maswali ya biblia_____

1.je Danieli ni kabila gani?

_______________
2.je ni nabii gani aliye agizwa na Mungu kutembea uchi?

______________
3.je ni Nabii gani aliye tabiri kufa kwa Mfalme Ahabu vitani?

________________
4.wenye uhai wa 4 wana sura ngapi?

________________
5. Je hekalu la Mungu linawakilisha nini kwetu sisi katika agano jipya?

__________________
6.je katika biblia ni nani aliye ishi maiaka mingi zaidi?

__________________
7.je Isaka alikuwa na watoto wakiume wangapi.

____________
8.je kwanini Yusufu alichukiwa na ndugu zake?

_______________
9.Je Israeli maana yake nini?

________________
10. Je Musa alifia wapi?

________________

Ubarikiwe na Bwana .shea na kwa wengine.

@NURU YA UPENDO
www.wingulamashahidi.org
0652274252 au 0693036618

 

 

 

 

 

06/03/2023

_____MASAHIHISHO_____

MTIHANI WA BIBLIA (part 18)
____maswali ya biblia_____

1.je Danieli ni kabila gani?

Jibu. Kabila la Yuda
Soma. Danieli 1:3-6
_______________
2.je ni nabii gani aliye agizwa na Mungu kutembea uchi?
Jibu. Nabii ISAYA
Soma. Isaya 20:1-6
______________
3.je ni Nabii gani aliye tabiri kufa kwa Mfalme Ahabu vitani?

Jibu. Nabii Mikaya
Soma. 1wafalme 22:13-28
________________
4.wenye uhai wa 4 wana sura ngapi?

Jibu. Wana sura 4
1)uso wa simba
2)uso wa ndama
3)uso wa binadamu
4)uso wa tai

Soma. Ezekieli 1;10 na ufunuo 4:6-7
________________
5. Je hekalu la Mungu linawakilisha nini kwetu sisi katika agano jipya?

Jibu. MIILI YETU
Soma. 1wakorintho 3;16-17
__________________
6.je katika biblia ni nani aliye ishi maiaka mingi zaidi?

Jibu. MATHUSELA (miaka 969)
__________________
7.je Isaka alikuwa na watoto wakiume wangapi.

Jibu. Wawili
1)ESAU
2)YAKOBO
Soma. Mwanzo 25;20-26
____________
8.je kwanini Yusufu alichukiwa na ndugu zake?

Jibu. 1) alipendwa zaidi na baba yake kuliko watoto wengine wote naalipendelewa zaidi.
Soma. Mwanzo 37;3-4

2)kwasababu ya ndoto zake ambazo Bwana Mungu alikuwa akimwonyesha.

Soma. Mwanzo 37-5
_______________
9.Je Israeli maana yake nini?

Jibu. Mshindi (mshindani)
Soma. Mwanzo 32;28
________________
10. Je Musa alifia wapi?

Jibu. MLIMA NEBO
Soma. Kumbukumbu la torati 34;1
________________

Ubarikiwe na Bwana .shea na kwa wengine.

@NURU YA UPENDO
www.wingulamashahidi.org
0652274252 au 0693036618

Subscribe
Login
Notify of
guest

guest

0 Comments
Inline Feedbacks
View all comments

Recent Posts

  • MTIHANI WA BIBLIA (part 21)
  • MTIHANI WA BIBLIA (part 20)
  • MTIHANI WA BIBLIA (PART 19)
  • MTIHANI WA BIBLIA (part 18)
  • MTIHANI WA BIBLIA (part 17)

Recent Comments

  1. watakatifuwasikuzamwisho on KUOTA UNAIBIWA SIMU AU UNANYANG’ANYWA
  2. Lucky on KUOTA UNAIBIWA SIMU AU UNANYANG’ANYWA
  3. Lucky on KUOTA UNAIBIWA SIMU AU UNANYANG’ANYWA
  4. jame on KUOTA UNAIBIWA SIMU AU UNANYANG’ANYWA
  5. jame on KUOTA UNAIBIWA SIMU AU UNANYANG’ANYWA

Archives

  • March 2023
  • February 2023
  • January 2023
  • December 2022
  • November 2022
  • October 2022
  • September 2022
  • August 2022
  • June 2022
  • May 2022
  • April 2022
  • March 2022
  • February 2022
  • December 2021
  • November 2021

Categories

  • Ndoto kutoka kwa Mungu.
  • Ndoto za Adui (shetani)
  • Ndoto za tahadhari.
  • Uncategorized
  • Wanawake

Palipo na Roho wa Bwana hapo ndipo penye uhuru
©2023 NDOTO ZANGU | Powered by SuperbThemes & WordPress
wpDiscuz