1.
Nani alikua mfalme wa kwanza katika kitabu cha Esta? (1:1)
2.
Mfalme alimpenda nani kuliko wanawake wote na kupata Kigali na neema mbele zake? (2:17)
4.
Nani alitaka kuwaangamiza Wayahudi wote? (3:6)
5.
Mordekai alimwagiza Esta asidhihirishe nini mbele ya Mfalme? (2:10)
6.
Nini kilikua kigezo cha kuangalia katika kutafuta malkia mpya? (2:2)
7.
Nani alichukua uongozi baada ya Kifo cha Hamani? (8:1-2)
8.
Nani aliwaokoa wayahudi katika vifo? (4:16-17)
9.
Kitabu cha Esta kina sura ngapi?
10.
Ni nani alimkasirisha mfalme kwa kutotii alipoitwa? (1:12)
11.
Esta alikua ametoka kabila gani? (2:5-7)
12.
Kwanini Hamani alitaka kuwauwa watu wa kabila la wayahudi? (3:5-6)
13.
Ni kwa siku ngapi Esta alifunga kabla ya kwenda kuonana na mfalme? (4:16)
14.
Mke wa Hamani aliitwa nani? ( 5:10)
15.
Ni kitu gani mfalme alifanya alipokosa usingizi? ( 6:1)