FUNDISHO MAALUMU KWA MWANAMKE Shalom, Jina la Mwokozi Wetu Yesu Kristo litukuzwe milele na milele, sifa na ukuu ni vyake. Amina, karibu tujifunze neno la Mungu. Kama wewe ni mwanamke (mama au binti), unayetaka kumcha Mungu na kuwa upande wake daima kama ilivyokuwa kwa wanawake walioutii uchaji wa Mungu kama Sara, Hana, Mariamu, Elizabeth, n.k,…
Category: Uncategorized

Nini maana ya huu mstari “HUWEKA NYUMBANI MWANAMKE ALIYE TASA, AWE MAMA YA WATOTO MWENYE FURAHA”
Embu tulisome hilo andiko…. Zaburi 113:4-9 [4]BWANA ni mkuu juu ya mataifa yote, Na utukufu wake ni juu ya mbingu. [5]Ni nani aliye mfano wa BWANA, Mungu wetu aketiye juu; [6]Anyenyekeaye kutazama, Mbinguni na duniani? [7]Humwinua mnyonge kutoka mavumbini, Na kumpandisha maskini kutoka jaani. [8]Amketishe pamoja na wakuu, Pamoja na wakuu wa watu wake. [9]Huweka…

KUOTA UPO JANGWANI PEKE YAKO
Jina la mwokozi wetu Yesu Kristo litukuzwe milele……. Karibu upate kujifunza kwa njia ya ndoto. Asilimia kubwa ya ndoto tunazoota huwa zinatokana na shughuli nyingi tunazokutana nazo…mara nyingi ule mfumo unakuwa unajijirudia kwa njia ya ndoto… Lakini kama umeona ndoto uliyoiota imekuja kwa uzito kidogo na haijaja kulingana na mizunguko yako mingi.. basi yakupasa uitafari…

KUOTA MTI UMEANGUKA
Bwana wetu Yesu Kristo asifiwe, karibu ujifunze kwa kupitia ndoto…….. Mara nyingi ndoto tuotazo huwa zinakuja kwa shughuli nyingi..lakini ikitokea imekuja kwa uzito kidogo, basi yakupasa utafute maana halisi… Kuota mti au kuuona mti kwenye ndoto kuna maana nyingi kulingana na ujumbe ambao Bwana anataka kuufikisha, maandiko yameeleza wazi nini maana ya mti… Marko 8:24…

PASIPO MIMI NINYI HAMWEZI NENO LOLOTE
Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo lisifiwe milele na milele….. Karibu tujifunze Maneno ya uzima….. Ilimpendeza Mungu kuachia Neno lake kwa njia ya maandishi ili itusaidie sisi…ni sawa na mtu aliyeandika waraka ukasomwe mahali fulani, kuonyesha ni neno lake lilelile ila kalieka kwa njia ya uandishi…..basi imetupasa tuwe watu wakulisoma sana Neno lake ili tupate…

UMEPATA FAIDA GANI?
Nakusalimu kwa jina la Mkuu wa ulimwengu hu na ule ujao YESU KRISTO….ni Neema kwetu kuiona siku mpya kwa maana lipo kusudi ndani yake…. Karibu tuyatafakari Maneno yake ya uzima ambayo ndiyo taa na mwanga wa maisha yetu… Kuna vitu sisi wanadamu tukivifanya na kuviona havina umuhimu kwetu ni rahisi kuachana navyo au kuvikatia tamaa…

WAACHENI WATOTO WADOGO
Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo lisifwe…Nawasalimu nyote, natumai tu wazima kwa Neema za Bwana Yesu… Tukaribie pamoja tuyatafakari Maneno ya Mungu wetu kila siku….. Leo kwa Neema za Bwana tutatafakari andiko moja ambalo limekuwa likijulikana na wengi na kufahamika sana,,lakini kuna namna nyingine ambayo Bwana anatamani tuifahamu maana Biblia inasema… Zaburi 12:6 [6]Maneno ya…

WANAWAKE WATAKATIFU WA ZAMANI WALIOMTUMAINI MUNGU
Nakusalimu Kwa Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo, Karibu tujifunze Neno la Mungu ambalo ndio taa na mwanga wa maisha yetu…. Leo kwa Neema za Bwana tutajifunza mambo kutoka kwa wanawake watakatifu wa zamani, naamini wewe kama Binti, dada,Mama, una cha kujifunza kutoka kwa hawa wanawake Lakini kabla ya kuendelea mbele hebu tueke msingi kidogo,…….

WALAKINI ATAOKOLEWA KWA UZAZI WAKE
Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo lihimidiwe milele na milele, Yeye aliye Alfa na Omega, Mwanzo na Mwisho, Aliyekuwepo, aliyeko na atakayekuja…. Nikukaribishe Dada, Binti, Mama, tuyatafakari Maneno ya Mungu wetu ili tuongeze Maarifa zaidi kila wakati…. Imetupasa tuwe watu wa kuongeza maarifa kila siku, na tunayaongeza Maarifa kwa kusoma Neno la Mungu, Biblia takatifu,…

YUAAIBISHA KICHWA CHAKE
Karibu tujifunze Maneno ya Uzima ya Bwana wetu Yesu Kristo, Mfalme wa wafalme na Bwana wa Mabwana.. Kuna kipindi nilifikia nikaona kila kitu Nina maamuzi yangu binafsi, hata nani aniambie, anishauri bado niliona Nina uwezo wa kufanya maamuzi yangu jinsi nipendavyo, kitu ambacho kiuhalisia ni kweli, na huenda nilikuwa sawa kabisa… Kumbe nilikuwa nakosea sana…