Karibu sana katika tovuti hii ya ndoto zangu ili uweze kujifunza kwa kupitia ndoto uotazo… Jina la Yesu Kristo lihimidiwe milele yote…. Maandiko yanasema Mungu anasema na sisi kupitia ndoto tuotazo,yawezekawa mara moja mpaka mara tatu kwa lengo la kusisisitiza ndoto hiyo… Na ndoto nyingi huja kulingana na shughuli zetu nyingi na mihangaiko mingi ya…
Category: Uncategorized

Tusiviangalie Vinavoonekana,bali Visivyoonekana”
Karibu tujifunze Maneno ya Mungu,Muumba mbingu na nchi,yeye aliyekuwepo tangu misingi ya ulimwengu hu haijawekwa 1 Petro 1:20 Ni neema za Bwana wetu Yesu Kristo kuiona siku nyingine ili tuweze kuongeza maarifa katika kumjua yeye milele yote….. Maandiko yanatuambia tusiviangalie vinavyoonekana bali visivyoonekana, na leo tutavijua vinavyoonekana ni vipi na visivyoonekana ni vipi.. 2 Wakorintho…

KUISHI MAISHA MATAKATIFU INAWEZEKANA KABISA
Kabla ya kuendelea na namna ya kuishi maisha matakatifu, tuelewe kwanza nini maana ya maisha matakatifu Maisha matakatifu ni maisha yasiyokuwa na uchafu ndani yake, maisha ambayo yanaendana kwa kuyafanya mapenzi ya Mungu kama alivyo agiza katika neno lake, pia ni maisha yasiyotawaliwa na mawazo maovu mfano uzinzi, usherati, wizi, ugomvi, fitina, uongo, chuki, hasira,…

MAOVU HUSABABISHA LAANA
Jina la mwokozi wetu Yesu Kristo litukuzwe, nakukaribisha tena katika wasaa mzuri wa kujifunza maneno ya uzima. Katika hiki kipindi tulichofikia sisi wanadamu hapa duniani hadi siku ya leo, ni mengi sana tuliyoyaona na kuyashuhudia mengine yalikuwa mema na mengine yalikuwa mabaya ambayo haya mabaya yalipotokea yaliacha maumivu makali sana. Ambayo yalipelekea hata watu kusema…

KUVAA SURUALI NI DHAMBI KWA MWANAMKE WA KIKRISTO?
Fundisho maalumu kwa mwanamke Kuvaa suruali kwa mwanamke wa Kikristo ni dhambi mbele za Mungu na si sawa hata kidogo, kwa sababu biblia imesema ni mchukizo kwa Bwana Mungu wako, haijalishi wewe ni nani, una cheo gani au wadhifa gani ni machukizo mbele za Mungu. Kumbukumbu La Torati 22:5 Mwanamke asivae mavazi YAMPASAYO mwanamume, wala…

SITIRI MWILI WAKO, USIWE CHANZO CHA MWENGINE KUTAMANI
FUNDISHO MAALUMU KWA MWANAMKE Jina la Bwana na Mungu Wetu Yesu Kristo litukuzwe daima, ikiwa wewe ni dada, binti, au mama, basi nakukaribisha tujifunze neno la Mungu kwa pamoja. Kama mwanamke, unapaswa uwe nadhifu kwa kuusitiri mwili wako pale uwapo sehemu za mkusanyiko wa watu wengi hasa wa jinsia tofauti (hasa kwa wale walio dhaifu…

KUOTA UNAKIMBIZWA NA SIMBA
Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo lisifiwe milele na milele…. Karibu tujifunze kwa njia ya ndoto ili tupate maarifa ya kumsikia Mungu kwa njia hiyo Asilimia kubwa ya ndoto tuotazo huwa zinatokana na harakati na mizunguko mingi ya maisha yetu hususani shughuli zetu za kila siku, lakini ikitokea ndoto yako haijaingiliana na shughuli yoyote au…

JINA LAKO LIMEANDIKWA KATIKA KITABU CHA UZIMA?
Shalom, Jina la Mungu mwokozi Wetu libarikiwe, ni wakati mwingine tena ambao Mungu ametupa kibari cha kujifunza maneno yake ya uzima, karibu! JINA LAKO LIMEANDIKWA KATIKA KITABU CHA UZIMA? Swali hili huwenda likawa geni kwako, yaani ndiyo mara yako ya kwanza kulisikia, au pengine haufahamu kuhusu kitabu hiki cha uzima kinachozungumzia hapo. Lakini yote katika…

MAFUNZO YANGU SI YANGU MIMI
Bwana Yesu Asifiwe, ni wakati mwingine tena ambao Mungu ametupa kibari cha kuweza kujifunza maneno yake yanayotupa kuiifikia ahadi yake ya mbingu mpya na nchi mpya, lakini kabla ya kuendelea mbele tutajifunza maana ya neno hili “unyenyekevu“ambalo litakuwa kiini cha ujumbe wetu Unyenyekevu ni hali ya mtu kujishusha pale anapofanya jambo fulani ambalo lilipelekea kumpa…

Je! Ni wanawake gani wanazungumziwa katika (Zaburi 68:11)?
SWALI: Je! Ni wanawake gani hao ambao wanazungumziwa katika katika cha Zaburi? (Zaburi 68:11) [Zaburi 68:11] [11] Bwana analitoa neno lake; Wanawake watangazao habari ni jeshi kubwa; JIBU: Nakusalimu kupitia Jina la Yesu lipitalo majina yote, nakukaribisha tupate kujifunza maneno yatupayo uzima wa milele. Wanawake wanaozungumziwa hapo ni wale wanawake ambao waliompokea Yesu Kristo katika…