1.je katika biblia ni nani aliye kuwa wakwanza kuupokea ufunuo wa ubatizo (taja na kifungu cha biblia)? __________________ 2. Bwana Yesu alimaanisha nini kusema (livunjeni hekalu hili,nami katika siku tatu nitalisimamisha)? __________________ 3.taja kifungu cha biblia kinacho thibitisha kuwa paulo alibatizwa? ____________________ 4.je ni nani aliye okoka katika yeriko wakati wana wa Israeli wanavamia huko….
26/02/2023 MTIHANI WA BIBLIA (PART 10) (MASWALI YA BIBLIA)
1.je! sanduku la agano lilitengenezewa kwa mbao za mti gani? ___________________ 2.je katika Israeli ni kabila gani ambalo Mungu aliliondoa katika kitabu cha ufunuo kwa sababu ya uovu wao na kuwapa nafasi hiyo wana wa Yusufu? ______________________ 3.Je katika biblia ni nani aliye weka nadhiri ya kuwa akishinda vita ananapo ludi nyumbani wakwanza kumlaki itakuwa…
25/02/2023 MTIHANI WA BIBLIA (Part 0️⃣9️⃣) (MASWALI YA BIBLIA)
1.je. mtume Paulo aling’atwa na nyoka katika kisiwa gani? _____________________ 2. Je. Katika biblia ni mwanamke gani aliye tajwa kuwa amebarikiwa kuliko wanawake wote? ______________________ 3. je! Ni mfalme gani aliye tabiliwa na nabii ISAYA kutoa amri ya wana wa Israeli kuludi Israeli kulijenga hekalu mara ya pili baada ya lile la SULEMANI kubomolewa? ____________________…
24/02/2023 MTIHANI YA BIBLIA (PART 0️⃣8️⃣) (MASWALI YA BIBLIA)
1.Je ni mitume gani wawili walio kuwa wakwanza kumfuata YESU? _________________ 2.Je! Simoni Petro Kabla ya kumfuata Bwana Yesu alikuwa akifanya kazi gani? _________________ 3.Je ni siku gani ambayo Bwana Yesu alifufuka? ________________ 4.Je! Ni siku gani ambayo Mungu alimuumba mwanadamu? ____________________ 5.Je! Ni mtume gani aliyeingia kwa wale mitume kumi na mbili kuziba nafasi…
23/02/2023 MTIHANI WA BIBLIA (PART 0️⃣7️⃣) (MASWALI YA BIBLIA)
1.Je! nikitabu gani katika biblia ambacho hakija taja Neno Mungu kabisa? __________________________ 2.Je. katika biblia ni nani aliyekuwa muhubiri pamoja na Paulo lakini baadae akaiacha injili kwa kuupenda ulimwengu? (taja na vifungu vya biblia) ____________________________ 3. katika kitabu cha matendo ya mitume ni mwanafunzi gani wa Yesu aliyekuwa wakwanza kupigwa mawe? _____________________________ 4.Katika wale (Thenashara)…
22/02/2023 MTIHANI WA BIBLIA (PART 0️⃣6️⃣) (MASWALI YA BIBLIA)
1. Je! ni nani katika biblia aliye pewa zawadi na Mfalme Ahasuero baada ya kugundulika kuwa alimsaidiga Mfalme juu ya waliotaka kumdhuru ? _________________________ 2.je! wakati mtume Paulo anahubiri usiku ni nani aliyekuwa akisinzia akaanguka katika dirisha. ________________________ 3. Katika biblia ni nani aliye mkana Bwana Yesu mara 3? _________________________ 4. Ni nani aliye tumwa…
21/02/2023 MTIHANI WA BIBLIA (PART 0️⃣5️⃣) (MASWALI YA BIBLIA)
1.Je! ni fundi gani stadi aliye msaidia SULEMANI kulijenga Hekalu la Mungu? ____________________ 2.Je! ni fundi gani Mwenye hekima ambaye Mungu alimpa Musa kwaajili ya ujenzi wa Hema ya kukutania na sanduku la Agano? _____________________ 3.Je! ni watoto gani wa Haruni walio pigwa na Mungu madhabahuni wakafa? _____________________ 4.Je! mstari huu unapatikana kitabu gani na…
20/02/2023 MTIHANI WA BIBLIA (PART 0️⃣4️⃣) (MASWALI YA BIBLIA)
1.Je! ni na ni aliye muuwa Habili? __________________ 2.Je! baada ya Musa kufa Mungu alimwinua nani kuwaongoza Israeli? ____________________ 3.Ni Mfalme gani mwanamke aliye itawala Yuda? ______________________ 4.kitabu cha matendo ya mitume kimeandikwa na nani. _________________________ 5.Je! Paulo ameandika vitabu vingapi katika biblia (vitajekwa majina)? _________________________ 6.Je! kati ya wale Thenashara mitume wa Yesu ni…
19/02/2023 MTIHANI WA BIBLIA (PART 0️⃣3️⃣) (Maswali ya biblia)
1.Ni mtoto gani wa Daudi aliye rithi kiti ufalme baada ya kufa kwake? ________________________ 2.Mtu wa kwanza kutoa fungu la kumi katika biblia alikuwa ni nani? ________________________ 3.Ni nabii gani katika biblia aliye agizwa na Mungu aowe mwanamke kahaba (mzinzi)? ________________________ 4.Mariamu mama yake Yesu alikuwa na watoto wakiume wangapi? _________________________ 5.Je! ni watu gani…
MTIHANI WA BIBLIA (part 1)
1.Ni mfalme gani aliye pigwa na malaika akaliwa na chango? __________________ 2.Ni nani aliye muua simba na dubu katika biblia? ___________________ 3.(Mkumbuke Muuba wako siku za ujana wako) je! kifungu hiki kinapatikana kitabu gani na mstari wa ngapi? ___________________ 4.Je! Bwana Yesu alizaliwa katika mji gani? __________________ 5.Baba yake Yohana mbatizaji anaitwa nani? ___________________ 6.Ni…