Karibu tujifunze Maneno ya Bwana wetu na Mwokozi wetu Yesu Kristo….Ni kwa neema zake hata tumeiona siku mpya ya tarehe ya leo… Zipo ngazi nyingi ambazo ukizipanda unaweza kumkaribia Mungu au hata kumuona Kabisa,wakati mwingine unaweza ukawa mtu wa haki,unaweza ukawa una huruma kwa wengine, ni mtu wa kusamehe sana,ni mtu wa kuwajali wengine,uko tayari…
SIFA NI ZAKO BWANA
Zaburi 65:4-13 [4]Heri mtu yule umchaguaye, Na kumkaribisha akae nyuani mwako. Na tushibe wema wa nyumba yako, Patakatifu pa hekalu lako. [5]Kwa mambo ya kutisha utatujibu, Katika haki, Ee Mungu wa wokovu wetu. Wewe uliye tumaini la miisho yote ya dunia, Na la bahari iliyo mbali sana, [6]Milima waiweka imara kwa nguvu zako, Huku ukijifunga…

YOUR HANDS ARE FULL OF BLOOD.
YOUR HANDS ARE FULL OF BLOOD. Solomon was able to tell, through the Spirit’s inspiration,the seven things which are detestable to God.And among them are “hands that shed innocent blood.”(Proverbs 6:17) The Bible contains several instances in which God is seen rebuking his people against the sin of shedding blood.For example,God says in: Isaiah 1:15-17;…

IMPORTANCE OF BAPTISM.
IMPORTANCE OF BAPTISM. We are commanded by the Lord Jesus, every one of us, to be baptized as a sign marking our death to sin into him.Baptism is a symbolism filled with deep meaning,and therefore as a basic command,it should not be overlooked.Satan, being aware of this,he is always seeking to keep people from being…

SEEK ETERNAL LIFE, NOT JUST LIFE.
SEEK ETERNAL LIFE , NOT JUST LIFE. There’s difference between “life” and “eternal life”. All creatures have got life in them,e.g, animals,birds,plants and human beings.Yet not all of them have eternal life. Eternal life is something else,which a person must seek and find;lest they end up living just the ordinary life here on earth.A life…

Je tunapaswa kushika sabato kwa namna gani?
Nakusalimu Kwa Jina Kuu la Mwokozi wetu Yesu Kristo,Jina litupasalo sisi kuokolewa kwalo…. Karibu katika muendelelezo wa kujifunza kwa njia ya Maswali na Majibu..” ●Swali Naomba nifahamishwe hili,je tunapaswa kuishika sabato kwa namna gani? ●Jibu Kabla ya kuanza kujua kuna umuhimu gani wa kuishika sabato au tunapaswa kuishika kwa namna gani ni heri ungejua kwanza…

MHESHIMU MUNGU, ACHA UDHURU.
Shalom, ni wakati mwingine tena Bwana Yesu ametupa nafasi ya kujifunza, akituonya na kutukumbusha maana Neno lake ni taa iongozayo miguu yetu. Ulishawahi kukaa na kujiuliza maswali haya?…Ni nani aliye kupa afya na uzima, ni nani aliyekupa kazi, ni nani aliyekupa akili timamu, ni nani aliyekupa uwezo wa kufanya biashara uliyo nayo wakati huu, ni…

TII INJILI YA KWELI
Katika kipindi hiki tulichopo cha siku hizi za mwisho, ni kipindi kibaya sana, ni kipindi cha kizazi kiovu na kibovu mno kinachojulikana kama KIZAZI CHENYE UKAIDI (Matendo 2:40), kizazi ambacho kinapingana na kushindana na kweli ya Mungu, kizazi ambacho hakitaki kulitii neno la Mungu, kizazi ambacho watumishi wa Mungu hawataki kusema kweli ya Mungu bali…

HIVYO HIVYO WANAWAKE NA WAJIPAMBE KWA MAVAZI YA KUJISITIRI, PAMOJA NA ADABU NZURI, NA MOYO WA KIASI, SI KWA KUSUKA NYWELE
FUNDISHO MAALUMU KWA MWANAMKE WA KIKRISTO. Jina la Bwana na Mwokozi Wetu Yesu Kristo litukuzwe, sifa na Utukufu ni vyake milele na milele, Amina. Karibu katika makala ya mafundisho maalumu kwa mwanamke wa kikristo. Moja ya vitu ambavyo maandiko yanawaagiza Wanawake wa kikristo wanaoukiri uchaji wa Mungu ni kujipamba kwa mavazi ya kujisitiri, yaani kutokuvaa…

Je kuna umuhimu wowote wa kukemea makosa hadharani?
Jina la Bwana na mwokozi wetu Yesu Kristo lihimidiwe! Karibu tujifunze neno la Mungu wetu.. Kwa Neema za Bwana huu utakuwa ni mwendelezo wetu wa kujifunza Biblia kwa njia ya Maswali na Majibu,hivyo tunakukaribisha sana… ●SWALI Je ni sahihi kukemea makosa mbele ya watu wengi? ●JIBU Embu tusome kwanza katika Maandiko Matakatifu tuone yanasemaje…….