Ndoto ya kuota unaokota hela inaweza gawanyika katika makundi mawili ambayo ni, 1) Kuota unaokota Sarafu 2) Kuota unaokota noti. Ndoto yoyote inayohusisha kuokota fedha, haina maana nzuri kama inavyotegemewa. Fedha ya kuokota haina tofauti na fedha ya wizi, uchungu anaoupata mtu aliyepoteza fedha hauna tofauti na yule aliyeibiwa, hivyo kuokota pesa sio jambo la…

Kuota Mbwa
Kuota unafukuzwa na Mbwa, au umeumwa na Mbwa, au umezungukwa na mbwa Maana yake nini?. Mnyama Mbwa katika roho anawakilisha vitu viwili. 1. Roho ya uzinzi/uasherati 2. Roho za manabii wa uongo. 3. Roho ya umaskini. Katika biblia wanaume wanaofanya kazi ya kujiuza kinyume na maumbile walijulikana kama Mbwa. Kumbukumbu 23:18 “Usilete ujira wa kahaba,…

KUOTA UPO CHOONI
Kuota upo chooni, unajisaidia haja kubwa au haja ndogo, au wakati mwingine unajiona uko peku chooni na choo ni kichafu. Nini maana yake? Unapoota upo chooni na unakojoa mkojo usioisha, mara nyingi inatokana na kwamba kibofu kimejaa mkojo, hivyo hiyo ni kawaida. Lakini unapojikuta unaota upo chooni, tena wakati mwingine peku, na choo ni kichafu,…