kitabu cha Matendo ya Mitume Welcome to your kitabu cha Matendo ya Mitume 1. Bwana Yesu alichukuliwa juu katika Mlima gani? Mlima Sayuni Mlima wa Mizeituni Mlima Moria Mlima Sinai 2. Maana ya jina Tabitha ni nini? Jua mwezi Nguvu Paa 3. Yuda alikufa kwa..? kusulubiwa kujinyonga kunywa sumu kusalitiwa 4. Ni idadi gani ya watu iliyokuwa imekusanyika ghorofani? watu 400 Watu 40 Watu 70 Watu 120 5. Akeldama maana yake nini? konde la heri konde la baraka konde la damu konde la maji 6. Sauli alitokewa na Bwana Yesu wakati anaelekea? Korintho Dameski Yerusalemu Rumi 7. Nani aliteuliwa kuchukua nafasi ya Yuda? Mathiya Yusufu Kornelio Nikodemo 8. Bwana Yesu aliwatokea wanafunzi wake kwa muda wa siku ngapi? 33 50 10 40 9. Mtume Paulo hapo kwanza alikuwa akiitwa? Sila Sauli Kefa Sergio 10. Mkushi aliyebatizwa na Filipo, alikuwa akisoma kitabu gani? Chuo cha Nabii Ezekieli Chuo cha Nabii Musa Chuo cha Nabii Malaki Chuo cha Nabii Isaya 11. Aliyeficha sehemu ya mali, baada ya kuuza shamba ni nani? Nabothi Iskanda Anania Tabitha 12. Watu wangapi waliongezeka kwa Mahubiri ya Petro siku ile ya Pentekoste? 100 5,000 4,000 3,000 13. Ni jina lipi liwapasalo wanadamu kuokolewa kwalo? Jina la Musa Jina la Mungu Jina la Baba jina la Yesu 14. Roho Mtakatifu alishuka mara ya kwanza katika siku gani? Ijumaa Jumapili Pentekoste Malimbuko 15. Kitabu cha Matendo ya Mitume kiliandikwa kwa nani? Mitume Paulo Theofilo Manabii Please fill in the comment box below.
Yesu ni mwokozi
Amen