FUNDISHO MAALUMU KWA MWANAMKE WA KIKRISTO. Jina la Bwana na Mwokozi Wetu Yesu Kristo litukuzwe, sifa na Utukufu ni vyake milele na milele, Amina. Karibu katika makala ya mafundisho maalumu kwa mwanamke wa kikristo. Moja ya vitu ambavyo maandiko yanawaagiza Wanawake wa kikristo wanaoukiri uchaji wa Mungu ni kujipamba kwa mavazi ya kujisitiri, yaani kutokuvaa…
Author: Magdalena
Je kuna umuhimu wowote wa kukemea makosa hadharani?
Jina la Bwana na mwokozi wetu Yesu Kristo lihimidiwe! Karibu tujifunze neno la Mungu wetu.. Kwa Neema za Bwana huu utakuwa ni mwendelezo wetu wa kujifunza Biblia kwa njia ya Maswali na Majibu,hivyo tunakukaribisha sana… ●SWALI Je ni sahihi kukemea makosa mbele ya watu wengi? ●JIBU Embu tusome kwanza katika Maandiko Matakatifu tuone yanasemaje…….
Mwanamke uliyeokoka tabia hii ipo ndani yako” sehemu ya pili
Jina la mwokozi wetu Yesu Kristo lihimidiwe milele na milele…. Nakukaribisha katika mwendelezo wa sehemu ya pili ya somo letu…Ni kwa Neema za Bwana hata imewezekana tena.. Leo kwa Baraka za Mungu tutaangazia tabia nyingine ambayo ukiwa nayo wewe mwanamke uliyeokoka basi inaweza ikaleta matunda mengi sana katika ufalme wa Mungu…na tabia hiyo si nyingine…
Mwanamke uliyeokoka tabia hii ipo ndani yako? “sehemu ya kwanza”
Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo,Jina lipitalo majina yote,Jina lenye uweza na nguvu…. Karibia tujifunze Maneno ya Uzima ya Bwana wetu Yesu Kristo..Ni furaha kwa Bwana kila siku tuwe ni watu wa kuongeza maarifa ya Neno lake” Leo kwa Neema zake tutaangazia tabia moja wapo ambayo walikuwa nayo wanawake waliotutangalia ili na sisi…
KUOTA MOTO UMEWAKA
Karibu sana katika tovuti hii ya ndoto zangu ili uweze kujifunza kwa kupitia ndoto uotazo… Jina la Yesu Kristo lihimidiwe milele yote…. Maandiko yanasema Mungu anasema na sisi kupitia ndoto tuotazo,yawezekawa mara moja mpaka mara tatu kwa lengo la kusisisitiza ndoto hiyo… Na ndoto nyingi huja kulingana na shughuli zetu nyingi na mihangaiko mingi ya…
Tusiviangalie Vinavoonekana,bali Visivyoonekana”
Karibu tujifunze Maneno ya Mungu,Muumba mbingu na nchi,yeye aliyekuwepo tangu misingi ya ulimwengu hu haijawekwa 1 Petro 1:20 Ni neema za Bwana wetu Yesu Kristo kuiona siku nyingine ili tuweze kuongeza maarifa katika kumjua yeye milele yote….. Maandiko yanatuambia tusiviangalie vinavyoonekana bali visivyoonekana, na leo tutavijua vinavyoonekana ni vipi na visivyoonekana ni vipi.. 2 Wakorintho…
KUOTA UNAKIMBIZWA NA SIMBA
Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo lisifiwe milele na milele…. Karibu tujifunze kwa njia ya ndoto ili tupate maarifa ya kumsikia Mungu kwa njia hiyo Asilimia kubwa ya ndoto tuotazo huwa zinatokana na harakati na mizunguko mingi ya maisha yetu hususani shughuli zetu za kila siku, lakini ikitokea ndoto yako haijaingiliana na shughuli yoyote au…
Nini maana ya huu mstari “HUWEKA NYUMBANI MWANAMKE ALIYE TASA, AWE MAMA YA WATOTO MWENYE FURAHA”
Embu tulisome hilo andiko…. Zaburi 113:4-9 [4]BWANA ni mkuu juu ya mataifa yote, Na utukufu wake ni juu ya mbingu. [5]Ni nani aliye mfano wa BWANA, Mungu wetu aketiye juu; [6]Anyenyekeaye kutazama, Mbinguni na duniani? [7]Humwinua mnyonge kutoka mavumbini, Na kumpandisha maskini kutoka jaani. [8]Amketishe pamoja na wakuu, Pamoja na wakuu wa watu wake. [9]Huweka…
KUOTA UPO JANGWANI PEKE YAKO
Jina la mwokozi wetu Yesu Kristo litukuzwe milele……. Karibu upate kujifunza kwa njia ya ndoto. Asilimia kubwa ya ndoto tunazoota huwa zinatokana na shughuli nyingi tunazokutana nazo…mara nyingi ule mfumo unakuwa unajijirudia kwa njia ya ndoto… Lakini kama umeona ndoto uliyoiota imekuja kwa uzito kidogo na haijaja kulingana na mizunguko yako mingi.. basi yakupasa uitafari…
KUOTA MTI UMEANGUKA
Bwana wetu Yesu Kristo asifiwe, karibu ujifunze kwa kupitia ndoto…….. Mara nyingi ndoto tuotazo huwa zinakuja kwa shughuli nyingi..lakini ikitokea imekuja kwa uzito kidogo, basi yakupasa utafute maana halisi… Kuota mti au kuuona mti kwenye ndoto kuna maana nyingi kulingana na ujumbe ambao Bwana anataka kuufikisha, maandiko yameeleza wazi nini maana ya mti… Marko 8:24…
