MASWALI, INJILI YA MATHAYO Welcome to your Maswali, Injili ya Mathayo 1. Yohana Mbatizaji alitokea wapi? Yordani Bethlehemu Samaria Nyika ya Uyahudi 2. Mamajusi walitokea wapi? Misri Ashuru Mashariki ya mbali Moabu 3. Bwana Yesu alizaliwa katika mji upi? Bethlehemu Nazareti Yerusalemu Galilaya 4. Bwana Yesu alitokea katika kabila lipi la Israeli? Yuda Lawi Manase Bethlehemu 5. Mathayo alikuwa anafanya shughuli gani kabla ya kukutana na Bwana? USeremala Ujenzi Mtoza ushuru Tabibu 6. Kitabu cha Injili ya Mathayo kina sura ngapi? 40 24 28 18 7. Imani ndogo kama nini inaweza kuhamisha milima? Ndogo kama punje ya mchanga Mbegu ya mchicha Chembe ya haradali Chembe ya Ngano 8. Taa ya mwili ni nini? Akili Moyo Jicho Hekima 9. Aliyemfuata Bwana Yesu juu ya maji ni nani? Petro Andrea Tomaso Yohana 10. Mwanamke aliyetokwa na damu alikuwa na ugonjwa huo kwa muda gani? miaka 40 Miaka 12 Miaka 20 miaka 8 11. Madhehebu ya Wayahudi mawili yalikuwa ni yapi? Mafarisayo na Masadukayo Waandishi na wanasheria Makuhani na Waandishi Maherode na Maherodia 12. Heri wenye upole kwa maana? watapiganiwa watainuliwa watapendwa watairithi nchi 13. Heri walio maskini wa roho; kwa maana?. Ufalme wa mbinguni ni wao watafarijiwa watakuwa matajiri wataokolewa 14. Mamaye Bwana Yesu aliitwa nani? Hana Miriamu Mariamu Magdalene Mariamu 15. Chachu ya Mafarisayo na Masadukayo ni nini? Mienendo yao Mafundisho yao Dini yao Maisha yao 16. Babaye Bwana Yesu aliitwa nani? Yusufu Yusufu wa Arimathaya Yosia Baba mtakatifu 17. Jina lingine la Simoni Petro ni nani? Petro-Yusto Petro-Mgalilaya Simoni Bar-Yona Simon Mkananayo 18. Roho Mtakatifu alishuka juu ya Bwana Yesu kwa mfano wa nini? kivuli Nyota Mwanga Huwa 19. Pazia la Hekalu lilipasuka vipande vingapi, baada ya Bwana kufa? Vipande 2 Vipande 3 Vipande 7 Vipande 12 20. Ya Kaisari anayopaswa apewe ni yapi? Anasa Kodi Starehe Dhambi 21. Ni nani aliyemkata kichwa Yohana Mbatizaji? Herode Kayafa Pilato Kaisari 22. Roho ya Eliya ilikuwa juu ya nani? Yohana Mbatizaji Paulo Bwana Yesu Yohana wa Patmo 23. Walipo wawili au watatu wamekusanyika kwa jina la Bwana.. Yeye atawatuma Yeye atawatokea Yeye yupo katikati yao Yeye atawaokoa 24. Ni nini kilitoka ubavuni mwa Yesu pale Kalvari? Damu na Maji Roho na Damu Damu Damu na Roho 25. Mwanafunzi gani aliyemkata mtumwa wa kuhani mkuu sikio? Tomaso Yuda Thadayo Petro 26. Nani mwandishi wa kitabu cha Mathayo? Yohana Mbatizaji Bwana Yesu Mathayo Paulo 27. Mwanafunzi gani aliyemkana Bwana Yesu? Yuda Petro Filipo Andrea 28. Bwana Yesu alijaribiwa kwa siku ngapi jangwani? 20 70 40 3 1 out of 1 Please fill in the comment box below. Time is Up! Time's up
Maswali ni rahisi lakini kama hujafuatilia hicho kitabu vizuri utakuwa na tashwiswi kama Mimi, inanibidi nirudie hicho kitabu Reply
Nimejifunza kitu na ukizingatia hivi karibuni Nina mtihani wa bible mlango wa mathayo kwa kweli nimefunguliwa ufahamu wangu Reply
Mungu ni mwema kabisa Hallelujah kitabu Cha Mathayo Mtakatifu kinalenga hasa kuonyesha Namna Yesu alifanya kazi na Namna Imani yetu inaweza kutuweka huru kama tukimtafuta Mungu Reply
Maswali ni rahisi lakini kama hujafuatilia hicho kitabu vizuri utakuwa na tashwiswi kama Mimi, inanibidi nirudie hicho kitabu
Ni kweli, maswali si magumu
I got everything
Hongera sana…yanakuja mengine
I need them
Kuna haja ya kusoma sana biblia
Amen
Nimejifunza kitu na ukizingatia hivi karibuni Nina mtihani wa bible mlango wa mathayo kwa kweli nimefunguliwa ufahamu wangu
Amen atukuzwe Bwana..
Mungu ni mwema kabisa
Hallelujah kitabu Cha Mathayo Mtakatifu kinalenga hasa kuonyesha Namna Yesu alifanya kazi na Namna Imani yetu inaweza kutuweka huru kama tukimtafuta Mungu
Naomb mtihan niw nao
karibu