1.
Ni nini kilitumika kumuua Abimeleki?
2.
Ni neno gani Wagileadi walitumia kwa wale watu waliotaka kuvuka mto Yordani ili wajue kama ni waefraimu?
3.
Wakuu wa Wafilisti walimwahidi Delila kumpa Shekeli ngapi kama atawaambia siri ya nguvu za Samsoni?
4.
Ni nini kilitolewa kwa mmoja wa mdhamini aliyehudhuria harusi ya Samsoni?
5.
Ni Mbweha wangapi Samsoni alitumia kuteketeza mashamba ya Wafilisti?
6.
Ni viongozi gani wawili wa Midiani ambao Gideoni na watu wake waliwateka?
7.
Nani alikua babu yake Tola ?
10.
Ni Waamuzi wangapi wametajwa katika kitabu cha Waamuzi?
11.
Ni kwa mda gani Samsoni alikua mwamuzi wa Israeli?
12.
Nani aliimba wimbo wa ushindi kwa Waisraeli?
13.
Mke wa Samsoni alitokea mji gani?
14.
Ni watu wangapi Mungu aliwachagua wamsaidie Gideoni vitani?
15.
Kitabu cha Waamuzi kina sura ngapi?