Menu
NDOTO ZANGU
  • ORODHA YA NDOTO
  • MASOMO YA WANAWAKE
  • QUIZZES/ MITIHANI YA BIBLIA
NDOTO ZANGU

MASWALI YA KITABU CHA I WAFALME II

Welcome to your MASWALI YA KITABU CHA I WAFALME II

1. 
Ni kitu gani alichokuwa nacho Sulemani ambacho hakukua na Mfalme yoyote aliyekuwa nacho?

2. 
Sulemani alimpa nini Mfalme wa Tiro?

3. 
Sulemani alifanya nini kilichomkasirisha Mwenyezi Mungu?

4. 
Malkia wa Sheba alimpelekea nini Mfame Sulemani kama zawadi?

5. 
Mfalme Sulemani alikua na wake wangapi?

6. 
Ni miungu gani mingine Sulemani aliyoiabudu?

7. 
Ni nabii gani ambaye alimtia moyo Yeroboamu kuchukua ufalme wa Sulemani?

8. 
Nani alikua Mfalme baada ya kifo cha Sulemani?

9. 
Rehoboamu aliwatisha watu wa Israeli kuwa atawapiga na nini?

10. 
Yeroboamu alichagua makuhani katikq kabila gani?

11. 
Ni aina gani ya mnyama ambao alimuua mtumishi wa Mungu aliyekuwa ametumwa kwa Yeroboamu hujo Betheli?

12. 
Yeroboamu alitawala Israeli kwa mda gani?

13. 
Ni nchi ipi alishambulia mji wa Yerusalemu kipindi cha ufalme wa Yehoboamu?

14. 
Ni Mfalme yupi wa Yuda aliyemvua maa yake cheo cha mama Malkia?

15. 
Ni kwa mda gani Mfalme Zimri alitawala Israeli?

clock.png

Time is Up!

clock.png

Time's up

3 thoughts on “MASWALI YA KITABU CHA I WAFALME II”

  1. Aneth kang'opo says:
    August 30, 2024 at 6:05 am

    Jesus

    Reply
  2. Happyness says:
    August 31, 2024 at 8:36 pm

    Thank you

    Reply
  3. Micchael Paul says:
    February 7, 2025 at 7:39 am

    Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu

    Reply

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recent Comments

  1. Lillie on MASWALI YA KITABU CHA 1 WAFALME, I
  2. watakatifuwasikuzamwisho on MASWALI, INJILI YA MATHAYO
  3. Noel Swai on MASWALI, INJILI YA MATHAYO
  4. watakatifuwasikuzamwisho on MASWALI YA KITABU CHA YOSHUA I
  5. watakatifuwasikuzamwisho on MASWALI YA KITABU CHA MWANZO

Palipo na Roho wa Bwana hapo ndipo penye uhuru
©2025 NDOTO ZANGU | Powered by SuperbThemes & WordPress