1.
Mungu alimuumba mwanadamu kutoka wapi?
2.
Mungu alipanda bustani ya Edeni wapi?
3.
Ni nchi gani ambayo Sara alijifanya dada kwa Abrahamu?
4.
Mungu alimwahidi Abraham kutoiharibu Sodoma kama akikuta wenye haki wangapi?
5.
Mungu alimpa Abrahamu nini kutoa kama sadaka ya kuteketezwa badala ya mwanae Isaka?
6.
Ni nani kati ya watoto wa Yakobo aliyelala na Suria wa baba yake?
7.
Ni aina ngapi ya ndege ambao Nuhu aliwaingiza katika safina?
8.
Nuhu alipomtoa kungurukwa mara ya pili nje ya safina alirudi na nini?
9.
Ni nani alikua mama wa mtotowa kwanza wa Abrahamu?
10.
Malaika watatu waliozungukanumba ya Lutu waliwafanya nini watu wa pale?
11.
Abraham alimpenda sana mwanae yupi?
12.
Ni yupi kati ya vizazi vya Adamu ambae hajuwahi kufa?
13.
Ni miaka mingapi ambayo Yakobo aliitumikia kwa Labani ili kumpata Raheli?
14.
Siku ya Yusufu alipowakaribisha ndugu zake chakula huko Misri ni yupi aliyewekewa chakula kingi kwenye sahani yake?
15.
Ni mlima gani ambao safina ya Nuhu ilitua ?
Swali la kumi na moja,Abraham huyo mtoto ambaye Ni yusufu,mama yake aliitwa nani