1.
Nani alihusika katika kuwapa majina wanyama na ndege wa angani?
2.
Mungu aliumba nini siku ya saba?
3.
Nani alizikwa katika pangolin la makpela?
4.
Mungu alimuumba Eva kutoka wapi?
5.
Nani alikua mtu wa kwanza kujenga mji?
6.
Nini kilitokea wakati Abrahamu Ana miaka 99?
7.
Kitabu cha Mwanzo kina sura ngapi?
8.
Nini miti mingapi ilikuwa katikati ya bustani ya Edeni?
9.
Kaini alimuua wapi Habili?
10.
Nani alikua mwanaume wa kwanza aliyeoa wanawake wawili?
11.
Kati ya hawa nani hakuna mtoto wa Nuhu?
12.
Ni mara ngapi Nuhu alimtoa kunguru nje ya safina?
13.
Ni nini Abraham alimpa kijakazi wa Rebeka baada ya kuwanywesha ngamia maji katika kisima?
14.
Recho aliiba nini kutoka kwa baba yake?
15.
Ni yupi kati ya watoto wa Yusufu aliyebeba baraka nyingi?