MASWALI YA KITABU CHA MWANZO Welcome to your MASWALI YA KITABU CHA MWANZO I Kijakazi wa Sarai alikua nani? Raheli Dina Hajiri Rebeka Nani alimwuzia mwenzake haki ya mzaliwa wa kwanza? Ibrahimu Esau Yakobo Kaini Baada ya Kaini kumuua Habili Mungu alimwekea nini Kaini kama ulinzi kwake? Alama Nyota Fimbo Wanyama Mungu alipumzika siku ya ngapi? Add description here! Tatu Saba Pili Kwanza Binadamu wa kwanza kuumbwa alikua nani? Mwanaume Mwanamke Hapo mwanzo Mungu aliumba nini? Binadamu Samaki Mbingu na nchi Bahari Kisima ambacho alichimba Isaka ambacho hakikugombaniwa na wachungaji wa Gerari? Sitna Rehobothi Eseki Yusufu aliuzwa kwa watu gani? Wagareri Waishmaeli Wamisri Beer-sheba Nani alipata neema machoni pa Mungu na kughairi mabaya kwao? Henoko Lameki Ibrahimu Nuhu Mungu aliuteketeza miji gani kwa kibiriti na moto?? Gerari Misri Kaanani Sodoma na Gomora Adamu aliishi miaka mingapi? 930 69 100 150 Nani alomdanganya Eva kula tunda la mti wa uzima? Nyoka Adamu Mwenyewe Nani alimsaidia Farao kufasiri ndoto? Mwokaji Yusufu Waganga Mnyweshaji Ni agano gani Mungu aliloweka kati ya yake na nchi baada ya Nuhu na wote kutoka ndani ya safina? La damu Ya sadaka ya kuteketezwa Upinde mawinguni Ya kulindwa Kaini alikua anafanya kazi gani? Mkulima Mwokaji Mvuvi Mchunga kondoo 1 out of 1 Please fill in the comment box below. Time is Up! Time's up
Amina sana m,Bwana akubariki mpendwa wetu
RACHEL JOHN LUTIGA
Mungu awabariki
Amen akubariki nawe pia..
Amen.
Ubarikiwe sana sana pia
Amen
Asante kwa maswali
Shalom maswal mazuri ya kutujenga kiimani Asante sana
Nzuri
Nice question
Maswali ni mazuri ya kufanya watu tusomapo biblia tuwe makini kuelewa
Amen
Mafundisho mazuri sana.
Amen
Barikiwa
Amen sana
Biblia
I like studying bible through question. I wish to be part of you
karibu sana je unaitwa nani? na unaweza kuwasiliana nasi kwa namba hizi 0789001312
Nimebarikiwa
Amen uzidi kubarikiwa.