1.
Farao aliwaagiza watu wake na kuwaambia mtoto mwanamume wa Israeli azaliwapo wamtupe wapi?
2.
Kwanini wazalishaji wa waebrania hawakuwaua watoto wa kiume?
3.
Kwanini binti Farao alimwita Musa mtoto aliyemwokota majini?
4.
Musa alikua akichunga kundi la nani?
5.
Wana wa Israeli waliahidiwa nchi gani na Mungu?
6.
Mungu alimfanya Musa kuwa kama nani mbele za Farao?
7.
Bwana aliwatagulia wana wa Israeli mchana ndani ya wingu mfano wa nini??
8.
Baada ya wana wa Israeli kutolewa utumwani na Mungu walimshukuru Mungu kwa namna ipi?
9.
Wana wa Israeli walikaa siku ngapi jangwani bila kupata maji?
10.
Mtoto wa pili wa Musa anaitwa nani?
11.
Ni nini kiliwafanya wana wa Israeli kutengeneza miungu ya ndama?
12.
Mungu aliwaambiaje wana wa Israeli kwa kulalamika kwao?
13.
Musa alipochaguliwa na Mungu kuwatoa waisraeli utumwani alitoa kisingizio gani mbele za Mungu?
14.
Mungu alimfanya Haruni kuwa nani kwa Musa?
15.
Musa alipoitwa kufanya kazi ya Mungu alikua na miaka mingapi?
16.
Haruni alipoitwa kufanya kazi ya Mungu alikua na miaka mingapi?