MASWALI YA KITABU CHA KUTOKA Welcome to your Maswali ya kitabu cha Kutoka waisraeli walikula milage isiyotiwa chachu kwa siku ngapi? 7 5 12 4 Wana wa Israeli walikula mana kwa mda wa miaka mingapi? 20 15 40 10 Malaika wa Bwana alimtokea Musa kwa namna gani? Sauti Ngurumo Kijiti cha moto Mwanga Msaidizi wa Musa alikua nani? Reubeni 1. Farao Haruni Lawi Farao alipigwa kwa mapigo mangapi na Mungu? 7 5 12 10 Mungu alimwambia jina gani Musa kuwa awaambie wana wa Israeli kwa aliyemtuma? Mimi Niko ambae Niko Mungu Malaika Mtawala Mungu alimtumia Musa kufanya muujiza kwa farao kwa kutumia nini? Add description here! Nyoka Mawe Fimbo Haruni Nani alihusika katika kutengeneza miungu kwa wana wa Israeli? Yethro Haruni Musa Yoshua Mbao za mawe zilitumika kuandikia nini? Amri za Mungu Kupiga Mahitaji Kuabudia Wana wa Israeli walipewa amri ngapi kuzishika na Mungu? 40 10 6 20 Wana wa Israeli walikaa misri kwa mda gani? 200 150 430 180 Mtawala wa Misri alikua nani? Haruni Farao Gadi Yakobo Ni pigo lipi ambalo Mungu alimpa farao na kuamua kuwaruhusu waisraeli kutoka misri? Mvua ya mawe Majipu Tauni Kifo cha wazaliwa wa kwanza Musa alikaa katika mlima Sinai kwa mda gani? 10 30 20 40 Wamisri walikufa katika bahari gani? Bahari ya nyekundu Bahari ya Hindi Bahari ya shamu Bahari ya chumvi Please fill in the comment box below. Time is Up! Time's up
Ilove this style of Bible study
Amen glory to God
Amen wapendwa Mungu awabariki kwa mwitikio wenu
Is very important issues that people can understand a Bible for using this way
Amen Glory be to God!
Good Christian questions
Bwana awabariki watenda Kazi….
Amen mtumishi ubarikiwe pia.
Hakika hii ni njema sana Mungu awabariki sana