1.
Ni kwa mda gani Absalomu alikua akikata nywele zake?
2.
Ni kitu gani Absalomu alimfanyia Yoabu baada ya kukataa kuja kumuona?
3.
Daudi aliwaacha wakina nani Nyumbani kwake wakati akimtoroka Absalomu?
4.
Shimei mwana wa Gera alimfanya nini Daudi wakati alipokua anamkimbia Daudi kumkwepa Absalomu??
5.
Ahithofeli alifanya nini baada ya Absalomu kutosikiliza shauri lake?
7.
Nani alikwenda kumsaidia Daudi dhidu ya wafilisti huko Ishbi-Benob?
8.
Nani alimuua kaka wa Goliathi?
9.
Ni idadi ngapi ya watu waliouliwa na Yosheb-bashebethi vitani?
10.
Nani alikua shujaa ambae aliwekwa kama mlinzi wa Daudi?
11.
Daudi alimruhusu nani kuwa anakula mezani pake kana mmoja wa mtoto wa Mfalme?
12.
Baada ya Amnoni kumbaka Tamari alimwambia nini?
13.
Ni kwa mda gani Absalomu aliishi Yerusalemu bila kumwona Daudi?
14.
Nani alikua nabii wa Daudi?
15.
Kitabu cha Samweli wa pili kina sura ngapi?