1.
Sanduku la agano likipoletwa Yerusalemu likikaa kwa nani?
2.
Kwanini Daudi alionyesha huruma kwa Hanuni?
3.
Ni idadi ya watu wangapi walikufa baada ya dhambi ya Daudi kuhesabu Waisraeli?
4.
Kwanini Daudi alitaka kulipa gharama yote ya sadaka ya kuteketezwa?
5.
Kwanini watu wa Yuda walichukuliwa mateka huko Babuloni?
6.
Ni taji la nani likilowekwa kichwani pa Daudi?
7.
Daudi alifanya nini kabla ya kifo chake?
8.
Nani alikua mshauri wa Daudi?
9.
Lawi alikua na watoto wangapi?
10.
Watu wa Israeli walifanya nini baada ya kuona Sauli amefariki?
11.
Ni jina gani Daudi aliuita mji wa Yerusalemu?
12.
Ni nini kilimfanya Daudi kuwa mwenye nguvu?
13.
Watu wa kabila la Benyamini walkia na ujuzi gani?
14.
Kabila la wana wa Merari walipewa miji mingapi?
15.
Yonathani aliuawa na nani?