1.
Ayubu alitokea katika nchi gani? (1:1)
2.
Nani alisema msemi huu na kwa nani ulisemwa? " Ngozi kwa ngozi"(2:4)
3.
"Yote aliyonayo mtu atayatoa kwa ajili ya ___wake"(2:4)
4.
Ni kwa siku ngapi marafiki wa Ayubu walikaa naye wakati wa taabu zake? (2:13)
5.
"Tazama yu heri mtu yule Mungu ___kwahiyo usidharau kurudiwa na huyo Mwenyezi. (5:17)
6.
"Yeye ni mwenye ___na mwenye uwezo katika___(9:4)
7.
Dunia imetiwa mikononi mwa ___(9:24)
8.
"Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi ___ naye hujaa____(14:1)
9.
Ni mara ngapi marafiki wa Ayubu walimshutumu?(19:3)
10.
" ukimrudia Mwenyezi Mungu ___"(22:23)
11.
Ayubu alisema " lakini yeye aijua njia niendeayo aisha kunijaribu nitatoka kama___(23:10)
12.
Bwana alisema na Ayubu katika kitu gani? (38:1)
13.
Ayubu alikua na binti wangapi? (42:14)
14.
Ayubu alikufa na miaka mingapi? (42:16)
15.
Nani alikwenda kumshitaki Ayubu kwa Bwana? ( 9-11)