1.
Ni mtoto yupi wa Daudi ambaye alimweka Mfalme baada yake?
2.
Ni mtu gani wa kwanza ambae Mfalme Solomoni alimlinda kwa kutomuua baada ya kuwa Mfalme?
3.
Ni mwanamke gani ambae Adoniya alumuomba Mfalme Sulemani awe mwanamke wake?
4.
Ni binti wa Mfalme nani ambaye Sulemani alimwoa?
5.
Sulemani alimwomba Mungu nini akiwa katika ndoto?
6.
Wanawake wawili makahaba walikwenda nyumbani kwa Mfalme Sulemani ili awaamulie kesi ya nini?
7.
Sulemani alikuwa na wapanda farasi wangapi?
8.
Mfalme Sulemani alitunga methali ngapi?
9.
Ni wapi Sulemani walipata miezeri ya kujengea Hekalu ya kuabudia?
10.
Sulemani alianza kujenga Hekalu la Mwenyezi Mungu katika mwaka wa ____baada ya Waisraeli kutoka Misri?
11.
Hekalu la Mwenyezi Mungu lilikua na urefu gani kwenda juu?
12.
Ni vitu gani vilipambwa katika kuta za hekalu?
13.
Ni kwa mda wa miaka mingapi Sulemani alitumia kujenga Hekalu?
14.
Katika Sanduku la Agano kulikuwa na nini ndani kipindi Sulemani analiweka katika Hekalu?
15.
Sulemani alitoa ngombe wangapi aliyoitoa kama sadaka za amani ili kuweka wakfu nyumba ya Mungu?