1.
Ni mawe mangapi aliyatumia Daudi kupigana na Goliati?
2.
Ni nani alitaka kumuja Daudi kwa mkuki?
3.
Ahimeleki alimpa Daudi mkuki wa nani?
4.
Daudi alifanya nini alipokutana na watu wa Gathi?
5.
Ni mfalme gani ambaye Daudi alimwachia wazazi wake?
6.
Nani aliwaua makuhani wa Nobu?
7.
Ni wapi Daudi alipokata kipande cha vazi la nguo ya Sauli?
9.
Ni zawadi gani Abigaili alimpa Daudi baada ya kumsamehe mume wake?
10.
Ni mwanamke gani alikua mke wa Daudi?
12.
Sauli alizikwa chini ya mti gani?
13.
Baba wa Samweli aliitwa nani?
14.
Nani alikua akimwokoa Daudi katika kuuliwa na Sauli?
15.
Kitabu hicho cha 1 Samweli kina sura ngapi?