1.
Waisraeli walimwomba Samweli awachagulie nini?
2.
Ni jina gani Samweli alilipa jiwe huko Mispa na Sheni?
3.
Nyumbani kwake Samweli kulikua wapi?
4.
Samweli alimpaka nai mafuta kuwa mfalme wa kwanza wa Israeli?
5.
Mtoto wa kwanza wa Samweli aliitwa nani?
6.
Baba yake Sauli alipoteza nini?
7.
Sauli alijificha wapi baada ya Samweli kumtaja kuwa mfalme wa Israeli?
8.
Mfalme Nahashi wa Waamoni aliweka mapatano kuwafanya nini watu wa Yabeshi ili awatumikie?
9.
Ni wapi Sauli alipokua Mfalme wa Israeli?
10.
Sauli alikua na miaka mingapi alipokua Mfalme?
11.
Ni mikuki mingapi ambayo Sauli alikua nayo pamoja na jeshi lake kwa mara ya kwanza kufanya vita dhidi ya Wafilisti?
12.
Kwanini Sauli alitaka kumuua mwanae Yonathani?
13.
Ni kitu gani Daudi alikifanya kuondoa roho mwovu aliyekua akimsumbua Sauli?
14.
Ñi urefu gani aliokua nao Goliathi?
15.
Ni kitu gani Sauli aliahidi kutoa zawadi kwa atakayeweza kumuua Goliathi?