1.
Mama yake Samweli aliitwa nani?
2.
Ni sehemu gani Hana alienda kumweka wakfu Samweli mbele za Mungu?
3.
Kufuatana na maombi ya Hana, "Kwa maana ____za dunia zina BWANA.
4.
Kufuatana na maombi ya Hana, "Yeye atailinda ____ ya watakatifu wake bali waovu watanyamazishwa gizani.
5.
Kila mwaka mama yake Samweli alikua akimwandalia nini mtoto wake?
6.
Hana alikua na watoto wangapi?
7.
Watoto wa Eli ni wakina nani hapa?
8.
Wakina nani waliteka Sanduku la Agano?
10.
Baada ya Wafilisti kuteka Sanduku la Agano walilipeleka wapi?
11.
Baada ya Wafilisti kuteka Sanduku la Agano Mungu aliwaadhibu vikali kwa kuwaletea ugonjwa gani?
12.
Wafilisti walipeleka Sadaka gani kwa Waisraeli wakati wanarudisha Sanduku la Agano?
13.
Ni wangapi waliouliwa wakazi wa Beth- Shemeshi baada ya kuangalia ndani ya Sanduku la Agano?
14.
Ni nani mtu wa Israeli aliyechaguliwa kutunza Sandukua Agano?
15.
Samweli aliwakusanya wapi watu wa Israeli?