MASWALI, INJILI YA MATHAYO Welcome to your Maswali, Injili ya Mathayo 1. Madhehebu ya Wayahudi mawili yalikuwa ni yapi? Maherode na Maherodia Mafarisayo na Masadukayo Makuhani na Waandishi Waandishi na wanasheria 2. Heri wenye upole kwa maana? watairithi nchi watainuliwa watapendwa watapiganiwa 3. Ni nani aliyemkata kichwa Yohana Mbatizaji? Kaisari Herode Pilato Kayafa 4. Roho ya Eliya ilikuwa juu ya nani? Paulo Yohana Mbatizaji Bwana Yesu Yohana wa Patmo 5. Mwanafunzi gani aliyemkata mtumwa wa kuhani mkuu sikio? Tomaso Petro Thadayo Yuda 6. Pazia la Hekalu lilipasuka vipande vingapi, baada ya Bwana kufa? Vipande 12 Vipande 3 Vipande 2 Vipande 7 7. Aliyemfuata Bwana Yesu juu ya maji ni nani? Andrea Tomaso Yohana Petro 8. Imani ndogo kama nini inaweza kuhamisha milima? Chembe ya Ngano Ndogo kama punje ya mchanga Mbegu ya mchicha Chembe ya haradali 9. Ni nini kilitoka ubavuni mwa Yesu pale Kalvari? Damu Roho na Damu Damu na Roho Damu na Maji 10. Mathayo alikuwa anafanya shughuli gani kabla ya kukutana na Bwana? Tabibu Mtoza ushuru USeremala Ujenzi 11. Yohana Mbatizaji alitokea wapi? Bethlehemu Nyika ya Uyahudi Samaria Yordani 12. Babaye Bwana Yesu aliitwa nani? Baba mtakatifu Yosia Yusufu Yusufu wa Arimathaya 13. Bwana Yesu alijaribiwa kwa siku ngapi jangwani? 3 20 70 40 14. Jina lingine la Simoni Petro ni nani? Petro-Yusto Simon Mkananayo Petro-Mgalilaya Simoni Bar-Yona 15. Bwana Yesu alitokea katika kabila lipi la Israeli? Bethlehemu Lawi Yuda Manase 16. Kitabu cha Injili ya Mathayo kina sura ngapi? 28 18 40 24 17. Ya Kaisari anayopaswa apewe ni yapi? Starehe Dhambi Anasa Kodi 18. Mwanamke aliyetokwa na damu alikuwa na ugonjwa huo kwa muda gani? miaka 40 Miaka 20 Miaka 12 miaka 8 19. Nani mwandishi wa kitabu cha Mathayo? Bwana Yesu Mathayo Yohana Mbatizaji Paulo 20. Bwana Yesu alizaliwa katika mji upi? Nazareti Bethlehemu Galilaya Yerusalemu 21. Chachu ya Mafarisayo na Masadukayo ni nini? Dini yao Maisha yao Mafundisho yao Mienendo yao 22. Walipo wawili au watatu wamekusanyika kwa jina la Bwana.. Yeye yupo katikati yao Yeye atawatokea Yeye atawaokoa Yeye atawatuma 23. Mamajusi walitokea wapi? Misri Mashariki ya mbali Moabu Ashuru 24. Heri walio maskini wa roho; kwa maana?. watafarijiwa Ufalme wa mbinguni ni wao watakuwa matajiri wataokolewa 25. Mwanafunzi gani aliyemkana Bwana Yesu? Andrea Petro Yuda Filipo 26. Taa ya mwili ni nini? Jicho Moyo Akili Hekima 27. Mamaye Bwana Yesu aliitwa nani? Mariamu Magdalene Mariamu Hana Miriamu 28. Roho Mtakatifu alishuka juu ya Bwana Yesu kwa mfano wa nini? Huwa kivuli Mwanga Nyota 1 out of 1 Please fill in the comment box below. Time is Up! Time's up
Maswali ni rahisi lakini kama hujafuatilia hicho kitabu vizuri utakuwa na tashwiswi kama Mimi, inanibidi nirudie hicho kitabu Reply
Maswali ni rahisi lakini kama hujafuatilia hicho kitabu vizuri utakuwa na tashwiswi kama Mimi, inanibidi nirudie hicho kitabu
Ni kweli, maswali si magumu
I got everything
Hongera sana…yanakuja mengine
I need them
Kuna haja ya kusoma sana biblia
Amen