1.
Mtu Wa kwanza wa Mataifa kupokea Roho Mtakatifu alikuwa ni nani?
2.
Nabii nani aliyeonyeshwa kuwa kutatokea njaa kubwa?
3.
Nani aliyemuua Yakobo ndugu yake Yohana?
4.
Ni nani aliyemtoa Gerezani Mtume Petro?
5.
Ni nani aliyempiga Herode na chango?
6.
Je ni nani aliyewachagua Barnaba na sauli kwa kazi waliyoitiwa?
7.
Bar Yesu alikuwa ni nani?
8.
Watu wa Ikonia waliwaita Barnaba na Paulo majina gani?
9.
Baba yake Timotheo alikuwa ni?