1. Je! ni nani katika biblia aliye pewa zawadi na Mfalme Ahasuero baada ya kugundulika kuwa alimsaidiga Mfalme juu ya waliotaka kumdhuru ? _________________________ 2.je! wakati mtume Paulo anahubiri usiku ni nani aliyekuwa akisinzia akaanguka katika dirisha. ________________________ 3. Katika biblia ni nani aliye mkana Bwana Yesu mara 3? _________________________ 4. Ni nani aliye tumwa…
Category: Uncategorized
21/02/2023 MTIHANI WA BIBLIA (PART 0️⃣5️⃣) (MASWALI YA BIBLIA)
1.Je! ni fundi gani stadi aliye msaidia SULEMANI kulijenga Hekalu la Mungu? ____________________ 2.Je! ni fundi gani Mwenye hekima ambaye Mungu alimpa Musa kwaajili ya ujenzi wa Hema ya kukutania na sanduku la Agano? _____________________ 3.Je! ni watoto gani wa Haruni walio pigwa na Mungu madhabahuni wakafa? _____________________ 4.Je! mstari huu unapatikana kitabu gani na…
20/02/2023 MTIHANI WA BIBLIA (PART 0️⃣4️⃣) (MASWALI YA BIBLIA)
1.Je! ni na ni aliye muuwa Habili? __________________ 2.Je! baada ya Musa kufa Mungu alimwinua nani kuwaongoza Israeli? ____________________ 3.Ni Mfalme gani mwanamke aliye itawala Yuda? ______________________ 4.kitabu cha matendo ya mitume kimeandikwa na nani. _________________________ 5.Je! Paulo ameandika vitabu vingapi katika biblia (vitajekwa majina)? _________________________ 6.Je! kati ya wale Thenashara mitume wa Yesu ni…
19/02/2023 MTIHANI WA BIBLIA (PART 0️⃣3️⃣) (Maswali ya biblia)
1.Ni mtoto gani wa Daudi aliye rithi kiti ufalme baada ya kufa kwake? ________________________ 2.Mtu wa kwanza kutoa fungu la kumi katika biblia alikuwa ni nani? ________________________ 3.Ni nabii gani katika biblia aliye agizwa na Mungu aowe mwanamke kahaba (mzinzi)? ________________________ 4.Mariamu mama yake Yesu alikuwa na watoto wakiume wangapi? _________________________ 5.Je! ni watu gani…
MTIHANI WA BIBLIA (part 1)
1.Ni mfalme gani aliye pigwa na malaika akaliwa na chango? __________________ 2.Ni nani aliye muua simba na dubu katika biblia? ___________________ 3.(Mkumbuke Muuba wako siku za ujana wako) je! kifungu hiki kinapatikana kitabu gani na mstari wa ngapi? ___________________ 4.Je! Bwana Yesu alizaliwa katika mji gani? __________________ 5.Baba yake Yohana mbatizaji anaitwa nani? ___________________ 6.Ni…

KWA NENO LAKO, nitazishusha nyavu”
Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo libarikiwe milele….Ni siku nyingine kwa Neema zake… Karibu tujifunze Maneno yake… ….Leo nataka tuitafakari kauli moja ya Mtume Petro,kupitia kauli hiyo tutapata vingi vya kujifunza na sisi..Kama tunavyofamfahamu,ni Mtume aliyekuwa na ufunuo mwingi kumuhusu Yesu,kipindi cha Bwana yupo duniani hata wakati hayupo,alifanikiwa kuzijua siri nyingi sana za Ufalme wa…

UKO WAPI? Mwanzo 3:9
Shalom,Bwana Yesu Kristo asifiwe..Karibu tena tujifunze Maneno ya Mungu… Mwanzo 3:9 [9]BWANA Mungu akamwita Adamu, akamwambia, Uko wapi? Kabla ya Uovu kuingia pale eden ukaribu wa Mungu na Adamu ulikuwa ni mkubwa sana.. kama tunavyofahamu habari yenyewe,kulikuwa hakuna haja ya kuitana itana kila wakati,Maandiko yanatuonyesha Mungu alipokuwa akitaka kuzungumza na Adamu alikuwa akashuka na kuongea…

UTAOKOKA LINI?
Utukufu na heshima na zirudi kwake Bwana wetu Yesu Kristo, yeye aliyetupa Neema ya siku nyingine na uhai tele…Sifa ni zake milele… Nakukaribisha tuendelee kujifunza maneno ya Uzima wetu… UTAOKOKA LINI? Hili ni swali ambalo mwanadamu yoyote aliye na pumzi ya Mungu anatakiwa kujiuliza kila wakati, swali hili haliangalii dini yako, na wala halijalishi kama…

BWANA AKALIZIDISHA KANISA KWA WALE WALIOKUWA WAKIOKOLEWA
Bwana Yesu Kristo asifiwe milele na milele…karibu tujifunze Neno la Mungu…. Ni shauku ya Mungu kila siku tuwe ni watu wa kuongeza maarifa katika kumjua yeye…. Kipindi cha injili ya Bwana Yesu akiwa duniani,kilikuwa ni kipindi chenye baraka na Neema sana,ilifika wakati sio lazima uwe mwanafunzi wake na wala alikuwa haji kukulazimisha uwe mfuasi wake…

TAFAKARI KWAKO MKRISTO.
Lipo jambo muhimu sana ambalo unapaswa kulitafakari wewe kama Mkristo (yaani wewe uliye mkiri Yesu Kristo kwa kinywa chako na kumwamini moyoni mwako) sawa sawa na andiko la Warumi 10:10 Kwa maana kwa moyo mtu huamini hata kupata haki, na kwa kinywa hukiri hata kupata wokovu. Na kubatizwa katika ubatizo sahihi ambao ni wa kuzamishwa…