Bwana Yesu Kristo asifiwe milele na milele…karibu tujifunze Neno la Mungu…. Ni shauku ya Mungu kila siku tuwe ni watu wa kuongeza maarifa katika kumjua yeye…. Kipindi cha injili ya Bwana Yesu akiwa duniani,kilikuwa ni kipindi chenye baraka na Neema sana,ilifika wakati sio lazima uwe mwanafunzi wake na wala alikuwa haji kukulazimisha uwe mfuasi wake…
Author: Magdalena

ZIWA LA MOTO
Shalom…… Karibu tujifunze Biblia takatifu ambalo ndilo Neno la Mungu wetu….. Wengi wetu tumeshawahi kulisikia hili Neno ziwa la Moto na pengine limeshakuwa mazoea kwetu kulitaja,lakini nimependa leo tuliangalie kwa namna nyingine tena naamini kuna mambo utajifunza…. Tukilileta kwa lugha rahisi hili Neno ziwa la Moto tutaitafsiri kama Adhabu,.na tukumbuke Adhabu hi haikutolewa kwa wanadamu…

KUOTA UMEKUFA
Shalom,Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo lihimidiwe milele…. Karibu tujifunze Maneno ya Uzima kwa njia ya ndoto….Kama una ndoto inakutatiza basi usisite kuiandika kwenye box la maoni chini…. Ndoto ya kuota umekufa uwa ina maana nyingi kulingana na ujumbe ambao ulipaswa kufika mahali husika… Ikiwa umeota ndoto hii na unaona ndani yako una msukumo wa…

KUOTA UNAIBIWA SIMU AU UNANYANG’ANYWA
Utukufu na heshima na mamlaka na zivume kwake Bwana wetu Yesu Kristo milele na milele…. Karibu tujifunze kwa njia ya ndoto…Kama una ndoto yako unayohisi inahitaji ufumbuzi wa Kimaandiko basi usisite kuiandika kwenye comment…. Sisi wanadamu kifaa ambacho kimekuwa na umuhimu sana katika ulimwengu wa sasa ni Simu,na kimekuwa cha muhimu kwsababu kina uwezo wa…

Bali Kwa sababu BWANA ANAWAPENDA
Karibu tujifunze Maneno ya Bwana wetu na Mwokozi wetu Yesu Kristo….Ni kwa neema zake hata tumeiona siku mpya ya tarehe ya leo… Zipo ngazi nyingi ambazo ukizipanda unaweza kumkaribia Mungu au hata kumuona Kabisa,wakati mwingine unaweza ukawa mtu wa haki,unaweza ukawa una huruma kwa wengine, ni mtu wa kusamehe sana,ni mtu wa kuwajali wengine,uko tayari…
SIFA NI ZAKO BWANA
Zaburi 65:4-13 [4]Heri mtu yule umchaguaye, Na kumkaribisha akae nyuani mwako. Na tushibe wema wa nyumba yako, Patakatifu pa hekalu lako. [5]Kwa mambo ya kutisha utatujibu, Katika haki, Ee Mungu wa wokovu wetu. Wewe uliye tumaini la miisho yote ya dunia, Na la bahari iliyo mbali sana, [6]Milima waiweka imara kwa nguvu zako, Huku ukijifunga…

Je tunapaswa kushika sabato kwa namna gani?
Nakusalimu Kwa Jina Kuu la Mwokozi wetu Yesu Kristo,Jina litupasalo sisi kuokolewa kwalo…. Karibu katika muendelelezo wa kujifunza kwa njia ya Maswali na Majibu..” ●Swali Naomba nifahamishwe hili,je tunapaswa kuishika sabato kwa namna gani? ●Jibu Kabla ya kuanza kujua kuna umuhimu gani wa kuishika sabato au tunapaswa kuishika kwa namna gani ni heri ungejua kwanza…

HIVYO HIVYO WANAWAKE NA WAJIPAMBE KWA MAVAZI YA KUJISITIRI, PAMOJA NA ADABU NZURI, NA MOYO WA KIASI, SI KWA KUSUKA NYWELE
FUNDISHO MAALUMU KWA MWANAMKE WA KIKRISTO. Jina la Bwana na Mwokozi Wetu Yesu Kristo litukuzwe, sifa na Utukufu ni vyake milele na milele, Amina. Karibu katika makala ya mafundisho maalumu kwa mwanamke wa kikristo. Moja ya vitu ambavyo maandiko yanawaagiza Wanawake wa kikristo wanaoukiri uchaji wa Mungu ni kujipamba kwa mavazi ya kujisitiri, yaani kutokuvaa…

Je kuna umuhimu wowote wa kukemea makosa hadharani?
Jina la Bwana na mwokozi wetu Yesu Kristo lihimidiwe! Karibu tujifunze neno la Mungu wetu.. Kwa Neema za Bwana huu utakuwa ni mwendelezo wetu wa kujifunza Biblia kwa njia ya Maswali na Majibu,hivyo tunakukaribisha sana… ●SWALI Je ni sahihi kukemea makosa mbele ya watu wengi? ●JIBU Embu tusome kwanza katika Maandiko Matakatifu tuone yanasemaje…….

Mwanamke uliyeokoka tabia hii ipo ndani yako” sehemu ya pili
Jina la mwokozi wetu Yesu Kristo lihimidiwe milele na milele…. Nakukaribisha katika mwendelezo wa sehemu ya pili ya somo letu…Ni kwa Neema za Bwana hata imewezekana tena.. Leo kwa Baraka za Mungu tutaangazia tabia nyingine ambayo ukiwa nayo wewe mwanamke uliyeokoka basi inaweza ikaleta matunda mengi sana katika ufalme wa Mungu…na tabia hiyo si nyingine…