MASWALI YA KITABU CHA KUTOKA II 00:19:26 Welcome to your MASWALI YA KITABU CHA KUTOKA II 1. Kuhani wa midian alikua na binti wangapi? 1 7 2 5 2. Kwanini Mungu aliufanya moyo wa Farao kuwa mgumu? Ili ajipatie utukufu Ili kumtesa Ili kumkomoa Ili kuwatoa Israeli utumwani 3. Walawi walichinja Waasi wapatao wangapi? 5000 2000 200 3000 4. Musa alikimbilia nchi gani baada ya kujulikana kuwa aliua? Refidimu Midiani Sini Misri 5. Mungu alimpa Musa kazi gani? Kuwa Nabii Kuwatoa wana wa Israeli watoke Misri Kufunga na kuomba Kuwa kuhani 6. Manyunyizo ya damu katika nyumba za waisraeli ziliwakisha nini? Alama yao Madhababu Ulinzi Sadaka 7. Musa aliwanywesha wana wa Israeli nini baada ya kutoka mlimani?? Mavumbi ya miungu ya ndama Divai Maji ya upako Damu 8. Maji ya mara yalikua na ladha gani? Matamu Machungu Yasiyo na ladha Maziwa 9. Mtoto wa kwanza wa Musa aliitwa nani? Eliezeri Yoshua Huri Gershomu 10. Miji ya Farao iliyokua ikitumiwa kuwekea akiba ni ipi? Misri Refidimu Sukothi Pithomu na Ramesesi 11. Wazalishaji wa waebrania walikua ni wangapi? 7 2 5 4 12. Musa alipozaliwa alifichwa kwa mda gani? Miezi 3 Miezi 4 Mwaka Miezi 6 13. Haruni na wanawe waliitwa na Mungu kufanya kazi gani? Kuimba na kucheza Ukuhani Kuomba Kupigana Please fill in the comment box below. Time is Up! Time's up