1.
Bwana asema hivi " Mbingu ni kiti changu cha enzi na duniani ni mahali pa kuwekea____yake. (66:1)
2.
"Kwa ajili ya sayuni ____ (62:1).
3.
Roho ya Bwana I juu yangu kwasababu nimetiwa ____(61:1)
4.
Ondoka uangaze kwa kuwa___ yako imekuja (60:1)
5.
Sikio la Bwana si zito hata lisiweze ___(59:1)
6.
"Unikumbushe tuhojiane, eleza mambo yako upate kupewa___ yako. (43:26)
7.
Upitapo katika maji mengi nitakua pamoja nawe" Nani alisema kauli hii ( 43:2)
8.
"Utawatafuta wala hutawaona wale ___"(41:12).
9.
Bali wamngojeao BWANA watapata ____ mpya. ( 40:31)
10.
Ufùnuo ju ya Babeli aliona ni nani? (13:1)
11.
Katika mwaka ule aliokufa mfalme Uzia nalimwona ____(6:1)
12.
"Bwana asema hivi neno hili halitasimama wala___(7:7).
13.
BWANA alimwongezea mfalme Hezekia miaka mingapi ya kuishi? (38:5)